Recent content by deep river

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mkutano Wa ACT Iringa Chiku abwao atisha

    Naipenda CHADEMA Sanaa Ila kwa Leo A.C.T wametishaaa Sanaa sikutegemea kama wangefanya vizuri kiasi kile coz ni chama kipya.. Nilipata mshtuko baada ya kuanza kumwaga sere zao pale kiukweli zina mashiko kwelinwale ni wazalendo kama wanavyojiita..Baada ya miaka kadhaa ACT kitakuja kuwa chama...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Chiku Abwao: UKAWA ni genge la Wafanyabiashara na Mafisadi wapya wanaonyemelea Ikulu

    Hongera Bi CHiku tunahitaji watu wenye mawazo ya mbali kama wewe Mh Lipumba na DR Slaa.. koz watanzania wengi tunafikiria hapa tulipo tu! thats why maendeleo kwetu tutazidi kuyaskia bombanii..! nice post
  3. D

    JamiiForums Tanzania Chiku Abwao: UKAWA ni genge la Wafanyabiashara na Mafisadi wapya wanaonyemelea Ikulu

    Watu watazema mengi but hata viongozi wao wa vyama..! Dr Slaa na Lipumba wameyaona haya but watanzania ni kama wamepigwa ganzii vile huwa tunachelewa sana kuona mambo hatuendi kwa arama za nyakati..! Hongera sana Bi Chiku wewe ni mkomavu kisiasa wacha watukanee ila mwisho wa siku watajiona...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Chiku Abwao: UKAWA ni genge la Wafanyabiashara na Mafisadi wapya wanaonyemelea Ikulu

    Sure Watanzania ni watu wakusahau haraka Sanaa upinzani ulikuwa na nguvu kwa kupigania ufisadi hiyo nguvu imesha potea sasa..! Na vyama vya vinavyo unda ukawa vimesha kosa hiyo nguvu tena zaidi ya vichache ulimiwemo ACT WAZALENDO..! Hongera sana bi chiku itawachukua muda watanzania...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ni uwendawazimu kudhani tutaenda kwenye kampeni na Uchaguzi bila Dr. Slaa

    Hii ndio sababu iliyowafanya Mh Zitto Kabwe na Mh Chiku Abwao kuamia ACT hawa watu wanaona mbali sana ni kweli wamekomaa kisiasa Mh Abwao alitangaza kukihama chama siku tatu kabla lowasa kuamia Chadema huu ndio uzalendo tunaohitaji watanzania MBOWE ndio tatizo na wala sio chadema.. Chunguza...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Chiku Abwao ajiunga rasmi na ACT - Wazalendo

    Aoneshe Mara mgapi na amesha sema anagombea teyari hiyo peke Yake ni ushindi toshaa kutoka na kupambana moja kwa moja..! Ashinde asi shinde bado kapambana na kaonesha dhamira na msimamo wake na kwa Hilo ataheshimika kisiasa koz ameshihirisha dhamira yake..Ndivyo mwanasiasa anavyotakiwa awe...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Chiku Abwao ajiunga rasmi na ACT - Wazalendo

    Fuatilia siasa acha ushabiki kiukweli hata mimi Kada wa CCM nakushangaa kwa kauli yako nyepesi sana tena ya kitoto sana! Na istoshe inaonesha haujua historia ya Chadema.. Amechangia sana kukiinua kile chama na kumbuka CHIKU ABWAO alikiw na nyadhfa gani chadema Toka ajiunge nacho ndio ungejua...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Chiku Abwao ajiunga rasmi na ACT - Wazalendo

    Sidhani kama unayeongea ni kweli unafuatilia siasa hapa nchini kwa undani zaidi au huenda ni changa kwenye siasa huyo mama ni mmoja ya kinamama wakwanza kimageuzi hapa nchini na amefanya mengi sana kwenye ulimwengu wa siasa na kaisaidia sana chadema Kanda ya kusini na istoshe amechangia sana...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wagombea ubunge Rungwe Magharibi

    Hapo sasa Ingawa ni kweli Chiku Abwao nikiongozi makini sanaaa hapa nchini nimiongoni wanamageuzi wakwanza kabisa hapa nchini Tanzania na amejidhatiti kweli kupigania haki za watanzani na sio mnafiki kabisa kama ni mfuatiloaji mzuri wa siasa utaona ni mtu asiye endeshwa na mtu yeyote Yule..! Mi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge Chiku Abwao, Mhonga watimkia ACT-Wazalendo

    Hapana chiku abwao ni moja ya wana mageuzi ya kweli Hapa nchini huyu mama ni mwanamke shujaa sana amekomaa kisiasa na niyeye aloyechangia mafsnikio ya huyoo mzigwaa..!
Back
Top Bottom