deep river
Member
- Jul 27, 2015
- 15
- 2
Hapo sasa Ingawa ni kweli Chiku Abwao nikiongozi makini sanaaa hapa nchini nimiongoni wanamageuzi wakwanza kabisa hapa nchini Tanzania na amejidhatiti kweli kupigania haki za watanzani na sio mnafiki kabisa kama ni mfuatiloaji mzuri wa siasa utaona ni mtu asiye endeshwa na mtu yeyote Yule..! Mi ni mwana CCM ila kwa
huyu mama Sacha niseme ukweli..!
huyu mama Sacha niseme ukweli..!