Hahaha. Uelewa simaanishi uboya . Namaanisha asiwe mzinguaji. Mwingine haelewi kazi anakupa gari inashida kama zote,... gari inatetemeka kama jenereta.
Au unakuta boss anataka hesabu kabla ya mda , anadai anashida nayo. Au kitu kimeisha anatakiwa akinunue yeye anazungusha na hesabu anataka...

Habari zenu wakuu, tunaelekea pasaka
Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku. Baada ya kufanya mauzo Christmass na New Year nimeona faida kubwa katika ufugaji. Kwa yoyote mwenye uhitaji wa kuku chotara 60 kama wa livyo bandani. Ni chotara aina ya Kuroiler, Wazito na wamejaza minofu.
Nunua kwa 15,000/=@...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.