• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Nauza Kuku 60 Chotara aina ya Kuroiler

Dee david

Dee david

Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
35
Points
95
Dee david

Dee david

Member
Joined Aug 30, 2018
35 95
Habari zenu wakuu, tunaelekea pasaka

Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku. Baada ya kufanya mauzo Christmass na New Year nimeona faida kubwa katika ufugaji. Kwa yoyote mwenye uhitaji wa kuku chotara 60 kama wa livyo bandani. Ni chotara aina ya Kuroiler, Wazito na wamejaza minofu.

Nunua kwa 15,000/=@ uuze kwa 20,000/=@. Ukiwauza wote utakufaidika na 300,000/= kama faida. Atakae chukua wote kwa mkupuo atachukua kwa 14,000/= @ .

Kwa mawasiliano 0625604674

Asanteni.


0625604674.
 

Forum statistics

Threads 1,403,657
Members 531,323
Posts 34,430,496
Top