Recent content by DEDmpole

  1. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Ajali daraja la Nsesi linalounganisha kata za Katumba Songwe na Ngonga wilayani Kyela, leo Mei 9, 2023

    Bro naomba tuwasiline PM, kuna ishu nahitaji tuongee kidogo
  2. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soya

    Samahani bro, ili kutoa bei ilibidi nijue umbali mzigo ulipo na uhakika wa upatikanaji kwenye hilo eneo moja kwasababu kutoa mzigo Malawi kwenda Dar sio sawa na kutoa Morogoro kwenda Dar..kwaiyo kuna mambo flani mengi yakuzingatia na ndio maana nlikua nauliza maswali nijiridhishe alaf tujadili...
  3. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soya

    Asante kaka nilishapata connection ya mzigo
  4. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soya

    Sukrani mkuu nilishapata, asante sana
  5. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soya

    Wakuu nashkuruni kwa msaada wenu...nilishapata sehem yauhahika yakuchukua mzigo
  6. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soya

    Ndio ndio
  7. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soya

    Samahani, naomba nitafute kwa hiyo namba tuzungumze
  8. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soya

    Zaidi ya tani20 kwa wiki
  9. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soya

    Arusha
  10. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Nahitaji soya

    Wakuu habari. Nahitaji soya kwa wingi, hivyo yoyote anayejua upatinakaji wake tunaweza kufanya kazi Mawasiliano: 0626532223
  11. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wanunuzi wa Mbegu za Alizeti

    Naomba mawasiliano yako tafadhali..naona PM inakwama.
  12. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Maboga yanaweza tumika kusolve tatizo la njaa

    hilo boga variety hiyo inaitwaje kitaalam? Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  13. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Hivyo vyote havikuhusu, yani wanachopima ni nyama pekee baada yakutoa hivyo ulivyotaja pamoja na vitu vya ndani kama maini, utumbo n.k jamaa wahuni sana Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  14. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Bei ya petroli shwari Tanzania kulinganisha na nchi jirani

    hizo hela zilizotajwa hapo ni Tsh au ni currency za nchi husika? Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  15. DEDmpole

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

    Duuh bas itakua mda wa asali na kufidia magap ya nyuma
Back
Top Bottom