Recent content by Decodier

  1. Decodier

    Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Hakuna kitu hatari kwenye programming kama kuwa self-taught asilimia kubwa ya self-taught unakuta unaparamia machine learning wakati kwenye Database concept hujui chochote.
  2. Decodier

    Uzalo Special Thread

    Amkeni huku hivi nini kinaendelea hapa kati ya G sii na huyu mgeni isije wakawa ndio wamesababisha tukahamishwa mpaka mtaa wa 4:30
  3. Decodier

    Miaka 25 ni mingi sana mtu kuwa bado hujakaa kwenye mfumo kimaisha?

    Naweza kuotea kuwa kwa kipindi kirefu umekuwa unafuatilia maisha ya kina elon musk,bill gates from scratch watu ambao story zao zime editiwa na motivaton speakers kisha ukafananisha nao. cha kukushauri ndugu maisha hayana formula endelea kupambana mpaka pale mungu amekuwekea ridhki yako
  4. Decodier

    Uzalo Special Thread

    Hii tamthiliya usije shanga sterling ni sbu
  5. Decodier

    Uzalo Special Thread

    Imeanza tok 2016 mpaka sasa bado inaendelea. yaani hzi episode tunazozitazama ni za 2016
  6. Decodier

    Uzalo Special Thread

    hii sio mara kuwa out of reality
  7. Decodier

    Uzalo Special Thread

    Siku hizi simuoni na ile pipi yake ya bigbomu.
  8. Decodier

    Uzalo Special Thread

    kama namuona mangcobo na muhaho wake.
  9. Decodier

    Sudan: Wananchi waendelea kuandamana kupinga mapinduzi, idadi ya vifo yafikia 11

    Wiki kadhaa zilizopita BBC waliripoti kuwa wananchi wanapanga kuandamana kushinikiza jeshi lichukue nchi nashangaa leo tena wananchi haohao wameligeukia jeshi.
  10. Decodier

    Uzalo Special Thread

    Kutana na nuhu toka kwa mashu town ambaye aliwaongoza wana wa israel kwenda nchi ya ahadi mabuza mungu anakuona ujue :D :D
  11. Decodier

    #COVID19 Sekta ya Afya yaanza utafiti ikiwemo kubaini waliochanjwa wamepata Kinga kiasi gani

    "hivi umeshawahi kuona wapi chanjo inafanyiwa utafiti kwa mwaka mmoja" - dkt molell katika kipindi cha ajenda startv.leo hii anakuambia chanjo ni salama.je tumuelewe molel yupi?
  12. Decodier

    Uzalo Special Thread

    Dibuza kisa kakosa bigbomu basi kawa mkali kweli.
  13. Decodier

    Uzalo Special Thread

    Roho inaniuma kwa amandla anakoelekea ni kubaya halafu kaka yake hachukui action yoyote ile.
  14. Decodier

    Sabaya aliwahi nikata makofi wakati sikuwa mkosaji. Nimemsamehe

    Ndugu mtu anakuchapa makofi unamtazama tu au labda 2019 ulikuwa bado kijana wa form 4
  15. Decodier

    #COVID19 CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

    Mi nadhani hujaielewa hii post inasema nini na kama umeielewa huwezi kulinganisha marekani na afrika katika mlipuko huu wa ugonjwa wa corona huku shughuli zinaendelea bila lockdown watu wamesongamana bila barakoa na bado hakuna maafa kama waliyotabiri hao mabosi zako.
Back
Top Bottom