Recent content by Decibel

  1. Decibel

    Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

    Ongezea na Carina, ina 55 au 60 Ltrs sasa anashangaa vip Brevis kua na
  2. Decibel

    China yatangaza nyongeza ya asilimia 84% ya ushuru kwa bidhaa za Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kusitisha kwa siku 90 kwa ushuru wa juu kwa nchi kadhaa, lakini ameongeza ushuru kwa China hadi 125% BBC NEWS
  3. Decibel

    Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja

    Wanaume wenye mwanamke mmoja ndio jamii ya wale wanaochoma mke na magunia ya mkaa.
  4. Decibel

    Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

    Nairobi night-Lokassa ya Mbongo
  5. Decibel

    Huko ughaibuni ni kweli watu wanaishi kwenye magari kwasababu kodi ya pango ni kubwa

    Robert Kiyosaki kwenye moja ya vitabu vyake kaandika kwamba alikua analala kwenye gari yake wakat anajitafuta, nimesahau jina ni kitabu gani kama sijakosea ni "how to retire young and rich"
  6. Decibel

    Aisee kuna mtu nambembeleza huku chakula hakipiti

    Sasa unaoaje mwanamke bila kumla kwanza, tatizo ndio limeanzia hapo
  7. Decibel

    Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

    Mbona mimi Carina yangu tena Ti ina Tank ya lina 60 sasa kwa Brevis kuwa na lita 70 mbona kawaida mkuu
  8. Decibel

    Kitendo cha Walimu wengi Kuomba Kazi kuboresha Daftari la mpiga kura Basi ni kielelezo tosha Maslahi ya Walimu ni Duni...

    Mjmi Mimi pia kama wewe tu mkuu, ni mwalimu lakin sijaomba. Tatizo kubwa ni kama ulivyosema kukosa elimu ya fedha, ingekua wana elimu ya fedha wenzetu plus na muda tulionao kwa nature ya kazi yetu tunaweza kabisa kutengeneza fedha wenyewe kuliko hata hizo za masimango wanazokimbilia wenzetu
  9. Decibel

    Video: Nimenyimwa unyumba na Mke wangu miezi 9

    Ivi mwanaume unanyimwaje na mkeo yan, ukiona unanyimwa inatakiwa ujue upo sehem ambapo hustahili kuwepo
  10. Decibel

    Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

    Habar yako bwana Lugusi
  11. Decibel

    Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Shukuru Mungu hata una mtoto, nina miaka 33 sasa bila bila wife sion dalili yeyote ya ki band, hospiral wanasema tupo sawa, mwenzangu ndio mayai sijui yamefanyaje na anatumia dawa lakin hola, hapa naona tu wenzangu wanatembea na watoto wao.
  12. Decibel

    Car cabin air filter

    Sijaingiza chasis namba Boss ila kuhusu mfumo wa hewa kwa buti hapo ndio umeniacha kabisa
Back
Top Bottom