mimi na mume wangu tumeishi kwenye ndoa kwa miaka miwili sasa,tatizo ni kwamba tunapokua 6*6 anawah kupiz,baada ya goli moja anakua hoi hawezi kuendelea tena(goli la1 ni ndani ya dk3),na akimaliza analala fofofo ananiacha na hamu,nikimwambia anasema atajitahidi ila mambo ni yaleyale kila siku!na...