Msaada pliz

Deborita

Member
Sep 10, 2013
37
11
Jaman wadau naomba kujuzwa juu hili tatizo kwa watoto,mwanangu ana mwaka sasa lakini utosi wake bado haujafunga na mara nyng panavodunda sn analia sana,sasa cjajua kama hii kitu ni kawaida au ni tatizo!naombeni msaada wenu ndugu zangu
 
Back
Top Bottom