Recent content by debbug

  1. debbug

    Makampuni ya simu ni wezi sana

    Uko right kabisa kaka mkubwa,tatizo ni sisi tunaona Kila kitu ni sawa tu bila wasi.Haiwezekani ukakosa mechanism yakurudisha salio la kawaida kwenda kuwa pesa. Hiyo kazi hata nikiwapa vijana wangu wa UDOM wasuke izo algorithm ni chap tu .
  2. debbug

    Vitu vinauzwa Kigamboni

    Kitanda Godoro Jiko la gesi na mtungi Kiti Cha plastic Vyombo Neti Mapazia Kifaa Cha kuwekea vyombo Mabesi mawili ya nguo Jumla vyote = 400000tsh Number:255 675 124 851
  3. debbug

    SoC03 Umuhimu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuwa na Tovuti yake Itayosaidia Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa kwa ulinzi wa Taifa letu

    Wewe ni mpumbavu mmoja tu upo uko kwenu katyongori unachunga ng'ombe pimbi wewe
  4. debbug

    SoC03 Umuhimu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuwa na Tovuti yake Itayosaidia Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa kwa ulinzi wa Taifa letu

    Kaka ,unabishana na mambumbumbu na kwa bahati iliyopo humu hatufahamiani ndio maana unakuta kajamaa ni kajinga fulani na hakajui lolote ila kwasababu hukaoni kanavyofanana ,kana uwezo gani juu ya kinachosisitizwa ndio maana vinatema pumba tu.Haiwezekani katika nchi zilizoendelea wao wawe na...
  5. debbug

    Rais Samia: Wanasiasa, Polisi, Ofisi za Umma waongoza kwa rushwa

    Shida kweli kweli [emoji3][emoji3]
  6. debbug

    Rais Samia: Wanasiasa, Polisi, Ofisi za Umma waongoza kwa rushwa

    Binadamu ni rahisi sana kumpoint ntu furani kwamba kfanya hiki ila yeye hajioni kabisa kabisa , kwanini haongelei ufisadi ambao CIG kausema na awachukulie hatia ,yaani watuhumiwa wapo lakini hawachukulii hatua na kwenye media anaiponda polisi polisi tangu IGP siro yupo yeye nikuiponda polisi ila...
  7. debbug

    Kiuhalisia mwanaume anamuamkia mwanamke ambaye si ndugu yake kama tu amemzidi miaka zaidi ya 20 na si chini ya hapo

    Jana tu umekuja na uzi wakuwaheshimu wanawake Leo Tena ni wenye mvi tu duh jaman[emoji3]
  8. debbug

    Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

    Wewe bunti,umeandika fact sana ubarikiwe
Back
Top Bottom