Recent content by dearmama

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Pombe Magufuli, tangaza mali zako hadharani

    Asipotaja ukawa watatusaidia kutaja
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kiafya:Kwa wiki inashauriwa kusex kusizidi mara ngapi?

    Kiafya Mara tatu kwa wiki kutokana na ushauri wa kitaalamu na hata afya inakuwa poa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Huyu binti ni mrembo kwa kweli, ila hapa tu ndo anaponikoseshaga raha

    Pole sana Kijana kwanza kabisa inabidi uikubari hiyo hari yake na uchukulie kawaida tu mana pia niugonjwa afu mpeleke kwa wataalamu wa meno huenda ukapata ufumbuzi pia mtafutie Dawa za alvora na uwe unamletea pipi kifua akate harufu mwisho wa siku mambo yatakuwa poa tu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Nami naitafuta aisee
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume wewe ndo umetongozwa na mwanamke, nini mtazamo wenu katika hili?

    Mm huwa nafurahi sana najua yy ndo anamapenz ya dhat na hatanisumbua na hata tukijenga familia itakuwa poa sana ila umri pia uzingatiwe
  6. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA viwanja vya Ngarenaro Arusha

    We loves him and he is my president
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

    Mungu akutie moyo na ustahimilivu ktk kipindi hiki kigumu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamabadiliko tuambie hali ilivyo hapo unapoishi

    Nipo Tunduru huku hari in 50:50 ila wanatia moyo ukilinganisha na miaka mingine
  9. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa will never win says South Africa

    If da peoples of south will vote for Tanzanian election its true DAT Lowasa will loose this chance BT if the people of Tanzania will vote their vote will decide who is their raisi pollen watu wa south pilipili usiyoile yakuwashia nn
Back
Top Bottom