Recent content by dean solo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi mwendokasi mbezi

    Jamani, naomba ufafanuzi. Kwa nini vituo vya BRT (mwendokasi) barabara ya Bagamoyo Road kuanzia Mbezi Beach vimejengwa virefu sana, na pia vimekaa karibu karibu kiasi kwamba hata mita 400 havifiki kutoka kituo kimoja hadi kingine? Kuna sababu maalum ya kiuhandisi au mipango ya usafiri...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

    Hapo Amani kuna mtu anaweza kuniekeleza Amani kwa wapi?
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananifanyia vituko ila nikitaka kumuacha anatishia kujiua

    Hamna mapenzi. She is just toxic person. Anaenjoy unavyompa attention. Na usipoangilia atakupotezea muda tu. Kaza moyo achana nae.
  4. D

    JamiiForums Tanzania ATCL bado sana kwenye Safari za anga

    Huyu mbona ana Jazba. Huyu jamaa anazungumzia vitu vengine wewe unaongea vengine. Huyo uliyemtaja kaingia vipi. Yeye ndio anafanya kazi atcl au mtoa mada Kamtaja?
Back
Top Bottom