Recent content by de_bless

  1. D

    JamiiForums Tanzania Je nikifanya hivi, nitakuwa nimetenda haki?

    Kuvamia eneo la mtu sio vizuri hata kidogo , saa nyingine ni dharau ! Mkuu kutaifisha ni sawa kama hajakupa maelezo ya kueleweka lakini kama umemuelewa we msamehe !
  2. D

    JamiiForums Tanzania Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa mitandao ya simu nchini

    Kiukweli kupunguza mb kunaathiri mambo mengi kwa sasa , kwa mfano wanafunzi wanaopenda elimu na maeneo ya maktaba yako mbali ,internet ndio maktaba yetu , sasa kama watapunguza tena ,tutashindwa kusoma na saingine hata kupitia notes zilizo kwenye clouds kama kwenye drop box nakadhalika
  3. D

    JamiiForums Tanzania Vibaka kuzunguka Ikulu, Usalama upo?

    Hahahahahahaha daa #pdidy hatari sanaa huyu jamaa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

    Daaa ametishaaaa !!! Ila kuvishwa pingu kazingua angewauliza kwanza magwiji wa haya mambo ambao hawakamatwagi !!!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hebu pima ubongo wako

    Hili jibu la fidelis zul zorander linaonesha kaukweli , hongera mkuu umefikiri nje ya box
  6. D

    JamiiForums Tanzania Bibi aliyeahidi kuwa gesi ya Mtwara haiwezi kutoka kwa Wana-Mtwara

    Kiukweli hakuna sababu ya kuuamini uchawi
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wapenda kuvunja amri ya sita hii kitu inawahusu

    Duuuu !
  8. D

    JamiiForums Tanzania Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Hapa tutaenda sawa tuu maana wanayo yajua haya mambo wapo hapa hapa !
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kitendo alichofanyiwa Diamond hakikuwa sahihi kabisa

    Daa wamemfanyaje diamond ????
  10. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha mafunzo ya JKT

    Nikweli , mambo men I serikali inaonekana kukurupuka
  11. D

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Tatizo la Voda nikwamba kunabaadhi ya number zatigo ukizipigia ukiwa umejiunga na Bando la mitandao yote haziendi kama bando zinatumia pesa iliyondani ya simu , kama imeshindikana kabisa turuhusuni wanachuo tulitafutie ufumbuzi tatizo hilo
Back
Top Bottom