Recent content by de SNOGA

  1. D

    Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

    Sio nyumba ya ndoto. Ndo maana nmeacha nafasi kubwa... ndo ntajenga ya ndoto
  2. D

    Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

    Hizo mbao ni kabla ya kuchana. Mfano hizo mbao 40, ukienda kuchana ni mbao 80.
  3. D

    Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

    Bro niliamua tuu. Nilikaa na fundi wangu, tukapanga bajeti. Nkamueleza aina ya nyumba nnayotaka. Bajeti tulipiga bada ya kujua bei ya vifaa. So nkacheki mfuko wangu nilikua na m6. Nkaamua naanza hivo hivo. Now here I am
  4. D

    Napenda sana upweke

    Nikipanda staff bus to job, nikiingia naenda kukaa siti ya peke yangu, au nakaa na mtu mbae najua hawezi niongelesha. Tukifika kituon ambacho anapanda mtu naihisi kuna mazoea atakuja kunifata na kunipa story zake, bas najifanya nmesinzia. Kantini job nachukua msosi mwisho, ili nkakae meza ya...
  5. D

    How I Met My Wife

    Lete mwendelezo basi babu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    How I Met My Wife

    Daaaah jamaa umenikata moto. Eti ntaendelea siku nyingine... wakat nilitamani useme ntaendelea baadae... story nzuri kinyama Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    How I Met My Wife

    Km kuna point umewahi ongea.. hii pia ni moja wapo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    How I Met My Wife

    Sorry nzi chuma. Huwa unasoma vitabu? Kama mzee kiga Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    How I Met My Wife

    Salute nzi chuma.. i gues apo wife atakua sophy. Ila itafika kipindi utakua unapiga 3some km mnyama kiga[emoji1787]. Incase u dont know Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    Tukutane hapa tulioishi familia za kitajiri ila sasa maisha yametuchapa

    DASM, I feel. Apo mwisho umeongea kwa uchungu kinoma kutoka moyoni Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    How I Met My Wife

    Rona, nora, mk, nasra hakuna hata mmoja mwenye access na jf kwamba anaeza akasoma hapa??? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    How I Met My Wife

    Ukikamilisha hiyo usisahau kunitag Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    How I Met My Wife

    Jamaa kawa isolated sababu ya corona. C mnajua alkua nchi fulan ya asia. So ktk purukushani za usafiri kakwama airport moja akiwa mshukiwa. Vipimo vimechukuliwa ndo wanasikilizia km wako salama wasepe.. Sema mwamba atakua poa na atakuja tuu bongo kwa mkewe kipenzi nora. Sent using Jamii Forums...
  14. D

    Kumfikisha mwanamke kileleni si mchezo

    Hiyoo imekaaa vizuri
  15. D

    Kumfikisha mwanamke kileleni si mchezo

    Hahahahaaaaaa jamaa bhnaaaa..... nmechela saaana. Eti najua wife anagongwa nje.[emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom