Kumfikisha mwanamke kileleni si mchezo

Kumfikisha mwanamke kileleni si mchezo

Hayo yote ni mbwembwe tu mwanamke ukitaka afike kileleni mpe hela hakikisha unampa hela yaani hela hapo atafika kileleni hadi kutukana jamaa alimpiga mashine jana kabla wewe hujaja kutumbukiza kibamia chako yaani mpe hela mkuu sio vijihela ni mahela makamanda utaona jinsi atakavyokuwa anafika kileleni hata mkiongea kwenye simu
kwa uelewa wangu mdogo(bado naendelea na research) suala la mwanamke kufika kileleni ni saikolojia.. inabidi umuandae vizuri si kumuandaa ukeni tu bali hata saikolojia..

cha kwanza wewe mwenyewe mwanaume usiwe na papara na pia ujiamini halafu muweke mbele zaidi mwanamke usijifikirie ww tu peke yako

pia hakikisha vitu vifuatavyo
-asiwe na woga/wasiwasi
-asiwe na papara
-asiwe mkali(kuna wanawake wengine wanaamrisha hapa wanakuwa washapanick)
-kuwa romantic
-control the game
-follow the rythim
-physically fitness and stamina... sometime unaweza hitajika kwenda maili ndefu zaidi ili kumfikisha mwisho wa safari

wanawake wanatofautiana so mwanaume inabidi umsome kwanza then umpatie treatment anayohitaji kwa kipimo chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mwaka sijui wa ngapi sijishughurishi na kuwafikisha wanawake kilekeni tena. Unakuta mwanamke unakutana naye ana miaka 24 kakutana na wanaume zaidi ya 10 wana mashine tofauti; wengine walimywea sijui al-quasus,viagra, wakapaka na vumbi la Kongo.

Halafu nikutane nae mimi ambaye ni mtu kama wa 11 kwake utegemee umfikishe kileleni kirahisi. Unaweza kujikuta umekojoa damu au unaweza kukata roho kabisa kisa kufikisha kileleni K iliyoota sugu.

Dawa ni kupiga mashine dk zako 15 kama hajafika atajua mwenyewe. Unaweza kuvunjika hadi mgongo kumbe the last man aliyekuwa naye alikua anatumia viagra anapiga mashine masaa manne nonstop.
Woyoooo...mnyabi nakubaliiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanaJF,

Kwanza nianze kwa kuwauliza wanaume, ulishawahi kumfikisha mwanamke kileleni?

Kama NDIO tupatie maujanja uliyotumia hapa ili wahanga wapate matibabu.

Kwa wanawake: Je, ulishawahi fikishwa kileleni wakati wa tendo?

Kama NDIO, toboa siri kwa wanawake na wanaume maujanja yaliyosababisha.

NILIWAZA SANA.

Nimeandika huu uzi baada ya kumwona dada mmoja akifanya mahojiano na vituo kadhaa vya radio na online TVs kuwa kiwango cha wanawake wanaoingia katika vitendo vya usagaji ni wengi kwani huko wanafurahia zaidi kuliko wakiwa na wapenzi wao wa kiume.

Yeye kama mshiriki mstaafu, alisema kuwa ndoa nyingi alizivunja kwa wanawake kulalamika wanaume wao hawawafikishi kileleni hivyo yeye aliwasaidia zaidi. Na alikiri wasagaji wanazidi kila uchao.

KARIBUNI KWA ELIMU TIBA.

NB: Kama huna uzoefu wowote usilete mawazo hasi.



Sent using Jamii Forums mobile app
wanawake jamani tuwape zawadi waume zetu watufikishapo kileleni, yani kama mimi huwa namwonea huruma mume wangu anavyo hangaika hapo juu ya "K" MAjasho yanamchuruzika, anakomaa sura mpaka basi
 
Back
Top Bottom