Recent content by DE NOVO

  1. DE NOVO

    Hawa ndio wanaCCM ambao pia ni wanajumuiya ya watanzania walio majuu

    Vijana wanajua wanajumuiya lakini wameamua kuleta hoja yao... kituko zaidi ni pale wanapoamua kumtumia DIAMOND na viongozi wa CCM kuja, taking a wagon ya DIASPORA na vitu vingine kufanya siasa za bata... kupekecha tope kupata pumba USHAURI WA BURE.... CCM MNAZIDI KUJIDHALILISHA SANA, BE WISE...
  2. DE NOVO

    Bunge limeahirishwa kutoka na ajali ya Mv Skagit

    Kajaaliwa kila kitu kibaya:nerd:
  3. DE NOVO

    My deeply felt condolences to Tanzanians

    sometimes hata huruma inakua haina maana kama tunaendelea kubung'aa na kupeana rambirambi tu
  4. DE NOVO

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    gone are those days za kutishana mkuu... starehe hiyo ilikua enzi zile wakati watanzania ni mabwege
  5. DE NOVO

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Mimi sijaona popote ambapo Mnyika ametangaza vita na Janga.... ila ni kawaida yenu watu incompetent, huwa mnaishia kwenye visasi na mashindano yasiyo na tija... shindaneni na umaskini wa nchi na ufisadi basi kama mnaweza
  6. DE NOVO

    Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??

    nchi ina usingizi, na mie nina usingizi.......... matokeo yake ndio hayo, pwani kitambi mtaji
  7. DE NOVO

    Madaktari kugoma nchi nzima!

    Mtazamaji... huwezi kutegemea google kufanya maamuzi we have different context na pia on the same note, jaribu basi na wewe kugugo uone madaktari wanavyokua treated nchi nyingine upuuzi sana kutumia gugo kufanya maamuzi....
  8. DE NOVO

    "Wengi Wape"...Uamuzi Mzito

    pesa hujenga familia yoyote uitakayo kuanzia ya malaika hadi ya mashetani, ya muda mrefu hadi mfupi... lakini familia bila pesa ni nyumba ya ujinga, umaskini na maradhi
  9. DE NOVO

    Blinking manyake

    sasa ndugu yangu unapoweka picha kama hii kwenye public huoni kwamba unajiaibisha wewe na watu wote waliokulea??? Hivi unaweza kupata taswira kwamba that was your sister au your mom kweli?? somethings are very stupid kwakweli
  10. DE NOVO

    Aunt Lulu aparamia pombe na kufanya mambo yasiyo na heshima hadharani

    Semagongo huyo........... kwao hiyo hobbie
  11. DE NOVO

    Hali ya Mwandsya Kiafya

    Mbona tumewaandama sana hawa makamanda wa MBeya... ni hii hamu ya jamaa yetu wa kusini kuwa presidaa au?
  12. DE NOVO

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    I like kitambi and she loves it Kitambi for life:boxing:
Back
Top Bottom