Suala la waghana kujaa migodi yetu sio kweli.Waghana wapo ila wachache ni sawa na watz waliopo huko kwao.Kuhusu wakenya hapo umepotosha hawapo migodini
Uislamu sio
Uislamu sio kufunga tu ni pamoja na kusoma na kuujua uislamu wako.Unaweza kuta mtu kafunga hasali,haachi uongo na mengineyo huyo atakuwa muislamu jina.
Kwanini aandike kuwa ni mkristo , nanyinyi andikeni kuwa ni nyama ya muislamu . Maana sheria za kwenu sio za wakristo
Na kila dini ina sheria zake sasa kwann nyinyi ndo mjirasimishe katika uchinjaji?
Soma vizuri unielewe jamii nyingine wao wanakula hata kama kimechinjwa na yeyote. Kwa waislamu...
Kuhusu kuvaa kama waarabu umeongopa Zanzibar hawalazimishi na wengi wanavaa mavazi ya kawaida. Pili kuhusu migahawa ni hoja dhaifu hujazuiliwa kula pika kwako ule mbona rahisi tu .Kuhusu kula hadharani sawa kule wengi ni waislamu na wapo katika ibada tukufu wewe kula hadharani ni kama kutweza...
Hiyo ni kwa ajili ya wanyama wachinjwao kwa ajili ya kuuzia jamii.Na hilo lilifanyika kwa sababu waislamu hawaruhusiwi kula mnyama asiyechinjwa kisheria.Ila ukitaka kuchinja wewe chinja ila kwenye bucha andika tu ni kwa ajili ya wakristo.Afu kuchinja jambo dogo sana kikubwa chinja ule wewe na...
Mtoa maada unachuki sana na Mh. Na wala hatojiuzuru kwa maneno ya watu kama nyie.Kwani akitumbuliwa kuna ajabu gani?Wangapi wametumbuliwa na maisha yanaenda.Afu unavomlaumu kama vile Rais hakosei.
Hapa ndio tatizo is wasomi wa Kitanzania tunaamini sana notisi za wazungu bila kulinganisha na maeneo halisi na kutumia fikra zetu huru.Taa pale ubungo zilikuwa zinaleta foleni tu.Solution yake ilikuwa ni round about kubwa pamoja na kuimarisha barabara za michepuko imara kama ile ya kupitia Udsm...
T
Tatizo lenu wafuasi wa CDM mnataka kila mlitokalo ninyi ndio sahihi wengine hawako sahihi mara vibaraka nakadhalika.Ama suala lako la Zitto kutotoka wakati wa bunge linaanza yeye alikuwa sahihi.Zitto hakuwa ukawa na kutoka nje yalikuwa makubaliano yalikuwa ni ya Ukawa na mlikuwa hamumtambui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.