De Kriging
Member
- Feb 7, 2019
- 56
- 30
Wana Jf naombeni msaada wa kujua betri zipi bora za Samsung Note 4 zinazouzwa?
Nenda kkoo hukosi kitu
Nenda kariakoo agrey haukosi yapo original from China warranty mwaka 1 nilichukua la note 3 hadi sasa natumia bila shidaWana Jf naombeni msaada wa kujua betri zipi bora za Samsung Note 4 zinazouzwa?
Ahsante na ni ya kampuni ganiNenda kariakoo agrey haukosi yapo original from China warranty mwaka 1 nilichukua la note 3 hadi sasa natumia bila shida
SamsungAhsante na ni ya kampuni gani
Mkuu ukilipata leta mrejesho maana na mimi pia nahitajiWana Jf naombeni msaada wa kujua betri zipi bora za Samsung Note 4 zinazouzwa?