Mbeya kungekua hakuna soko basi bakharesa asingeleta ice roll ya ukwaju na maziwa. Na anafanya kazi mwaka mzima.
Kama walivosema wana jamvi hapo juu kikubwa Ni ubunifu.
Usimkatushe tamaa bwana
"Popcorn Ni Zina hela kweli" ukipata location nzuri tu haijarishi Ni juko la umeme au gas.
Shahidi Mimi mwenyewe nipo stand ya bajaji pamechanganya napata hela nzuri tu Nina miezi sasa mashine imerudisha hela Mara nne yake+ na Ni ya umeme.
Nakubaliana na wewe TANESCO...
"Do what you love do as you die" mj Demarco the writer of millionaire fast lane.
Mkubwa angalia market inapenda Nini sio wewe unapenda Nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli nimeamini dunia watu wa ajabu hawatokuja kuisha,,,hao wazungu washaviuza copy za kutosha sio bure Kama unavosema wewe. Just imagine mtu
*Katumia mda wake, mb zake kutranslate kitabu kizuri kilichoandikwa kwa old English ambayo ni ngumu kdg. Halafu wewe unaona Kama ukilipa hela ambayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.