Recent content by dazefx

  1. dazefx

    JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Kwema jamani?? PC yangu ni probook 6555b niliizima kuamka asubuhi kuwasha aiwaki fan hazunguki ila vinawaka tu vitaaa kioo akionyeshi chochote. Ila pia kuna kama vikufuli viwili vinawaka vinazima
  2. dazefx

    JamiiForums Tanzania Msahada wa PC yangu processor inaleta Joto Sana

    Poleni na Majukumu jamani. PC yangu leo asubh niliizima kuja kuiwasha Fan inazunguka ila Kioo aki Display chochote wala kuleta Logo ya Dell ila Fan inazunguka. Ila nimeifungua kugusa processor ni inajoto sana tena sana. Msahada wenu jamani
  3. dazefx

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyimbo zote za nikki mbishi kutoka album yake mpya "sam magoli

    Kwaniii ngapi jamaa anauza
  4. dazefx

    JamiiForums Tanzania Wakali wa hip hop

    Hip hop darasa huru
  5. dazefx

    JamiiForums Tanzania Kuvuja kwa Mitihani Tanzania

    Kwanini uvuje usimamizi mbovuuuuu
Back
Top Bottom