Recent content by Dayone

  1. Dayone

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari mimi ni mkaazi wa Moshi- Kilimanjaro sina umeme leo siku ya tatu nilisharipoti zaidi ya mara sita bado tatizo langu halijapata ufumbuzi, hata sasa hivi ninavoandika nimetokea Tanesco wamesema watakuja kutengeneza lakini mpaka sasa sioni dalili ya wao kufika hapa. Mita namba yangu ni...
  2. Dayone

    Utabiri: Hiki ndicho kipato utakachoingiza 2023

    Maombi bila vitendo mkuu utaishia kumtukana na kumlaumu mungu bure.
  3. Dayone

    Sawa mmeichoka CCM, je mbadala wao mna waamini!?

    Mkuu tatizo tulilonalo watanzania wengi ni fixed mindset including you ( sory if I'm so harsh). Ukitaka kubadilika hutakiwi kusubiri the perfect time bali you have to make the time perfect to start out something, hivi unahisi hatuna chama kinachoweza kushika dola na mambo yakaenda sawa? Ndio...
  4. Dayone

    Series (Special thread)

    Jack Ryan season 3 inatoka leo, naikubali sana na nimeisubiri tangu 2019 ilipotoka season 2.
  5. Dayone

    Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

    Live forever by Tatiana, huu ni wimbo bora kabisa kwangu na huwa sichoki kuusikiliza nakushauri uutafute pia jitahidi uelewe anamaanisha nini. Karibu tuusikilize utanishukuru baadae.
  6. Dayone

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Mkuu upo nje ya ubongo vibaya mno. Nenda kaulize vizuri kama hizi ndege za precision air kuna mkono wa anko.
  7. Dayone

    Serikali iwaangalie Walimu wanaojitolea iwasaidie hata kwa chochote

    Mkuu kujitolea kwa lengo la kubembeleza ajira ni ujijnga, kama kweli unaithamini elimu yako uliyoisotea miaka mingi huwezi kufundisha for free huku ukitegemea huruma ya wanasiasa. Huu ni mwaka wa nne toka nimalize chuo nipo kitaa napambana hakuna kazi sijawahi fanya, nimejifunza mengi huku...
  8. Dayone

    Urasimu mkubwa kwenye ajira za mradi wa bomba la mafuta la Uganda na Tanzania (EACOP)

    Ok nipo hapa kurekebisha makosa, ukiacha kifungu cha sheria cha mwaka 217 sehemu gani hujaelewa ndugu msomaji wa maada hii.
  9. Dayone

    Wale Wake Zenu Wanaofanya Kazi(walioajiriwa) Poleni Sana, Nilichokiona Jana Kinasikitisha

    Mkuu achana na mambo ya mungu na illusion kama uokovu etc. Tafuta mwanamke ANAEJITAMBUA full stop. Kanisani sio mahali sahihi pa kupatia mke/mme hawa watu ni wachafu kuliko unovyofikiri (sio wote). Mark my words utanishukuru baadae.
  10. Dayone

    Myanmar: Kiongozi wa Kiraia aongezewa miaka mingine 4 jela

    Mkuu jaribu kufuatilia historia ya huyu mama, hayuko hivyo unavyofikiri amejitahidi sana kupambania haki na maisha ya raia hasa wa myanimar ndio chanzo cha yote anayopitia.
  11. Dayone

    SoC01 "Ni kheri kufa kuliko kuishi": Sauti ya msomi wa Tanzania

    Ofcoz, mkuu mpe kura ake jamaa angu kuonesha support mi ni-vote baada ya kunibutiwa na uandishi na contents.
  12. Dayone

    SoC01 Elimu bora ni haki ya kila Mtanzania

    Safi sana mkuu, sisi ndio tunapaswa kuwa chachu ya mabadiliko katika sekta ya elimu na sio kusubiri mtu atoke nje ya nchi kuja kutufundisha namna bora ya kujifunza na kufundisha. Nakucheki mkuu tuexchange ideas.
  13. Dayone

    SoC01 Elimu bora ni haki ya kila Mtanzania

    Asante mkuu, pamoja sana.
  14. Dayone

    SoC01 Elimu bora ni haki ya kila Mtanzania

    Mkuu ni kwamba shida ipo kwenye approach jinsi tunavofundisha watoto wetu ni tofauti kabisa na wao wanavyofundisha watoto wao, wame-base katika practical zaidi kwa sababu wana-facilities kama Maabara kwa ajili ya masomo ya sayansi na Computer labs, vyote hivi vimewezeshwa na serikali zao...
Back
Top Bottom