Recent content by Daxxizo

  1. Daxxizo

    Mamlaka zifanyie matengenezo kituo cha daladala Tabata Segerea

    Hata mimi nashangaa, maana Wafanyabiashara wenyewe wengi wanafanya Usiku,, tunataka kuwatia lawama tu za bure.
  2. Daxxizo

    Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi

    Lazima hali iwe Tata, baada ya Hayo mambo kutokea nilijua huku ndiko tunaelekea.
  3. Daxxizo

    Kampuni La Hosting Tafadhali.

    Hawa Wapo Sana aisee, Mimi Ndo Kinachonisumbua Now Hicho
  4. Daxxizo

    Kampuni La Hosting Tafadhali.

    Hata mimi nimeona gharama zao kubwa sana
  5. Daxxizo

    Kampuni La Hosting Tafadhali.

    Asante Boss..!!
  6. Daxxizo

    Kampuni La Hosting Tafadhali.

    Nani Huyo Kakupiga Mkuu??
  7. Daxxizo

    Kampuni La Hosting Tafadhali.

    Nahitaji Kujua Kampuni Inayofanya Hosting Au Mtu Anaefanya Hosting...naomba Tuchekiane...Au unaweza Acha Maelezo Hapa Hapa Na Kila Kitu Ili Iwasaidie Pia Na Wengine Wanaotafuta Hosting Kwaajili Ya Webs zao.
  8. Daxxizo

    Web Designer Na Mtaalamu Yoyote Wa Masuala Ya Web Design Fasta Anicheki.

    Kuna Mishe Hapa Ya Haraka, Inahusu Mtaalamu Wa Web Designing Na Masuala Mengine Yanayohusu Web Huko Huko...Naomba Anicheki Haraka Kwa 0744525848 Kwa Sms, Call Na WhatsApp Fresh..!!
  9. Daxxizo

    Meli Iliyozamishwa Vita Ya Pili, Yainuliwa Tena

    [emoji23][emoji23][emoji23] Vipi Kuhusu Mv Bukoba Yetu
  10. Daxxizo

    Meli Iliyozamishwa Vita Ya Pili, Yainuliwa Tena

    UINGEREZA: Meli ya abiria ya Uingereza iliyozamishwa kwa kupigwa bomu na ndege za Japan wakati wa vita ya pili ya dunia, imeinuliwa kutoka baharini na kundi la wapiga mbizi wa Jeshi la Wanamaji wa Sri Lanka. Ilikuwa umbali wa futi 35 chini ya bahari katika bandari ya Trincomalee. Source...
  11. Daxxizo

    Msaada Simu Yangu Inagoma Kuwaka

    Hakuna nilichokorofishana nacho but jana nakumbuka kuna App nilipakua inaitwa Notification History baada ya hapo kama dk 03 tatizo ndo likatokea..hii betri linatoka
Back
Top Bottom