Msaada Simu Yangu Inagoma Kuwaka

Daxxizo

Member
Mar 29, 2017
32
21
Natumia Tecno W3 Lakini Ghafla Simu Jana Iliganda Tu...Nilipotoa Betri kurudisha tena Nikiwasha Inaonesha maneno ya Tecno inakuwa hapo hapo ndo mwisho basi haiendelei tena

Kama kuna mtu ana Ujuzi anaweza kunisaidia tafadhali
 
mkuu mambo vp!

hilo tatizo limetokea tu au kuna
vitu umekorofisha,

halaf w3 battery lake si huwa halitoki(built in)
 
mkuu mambo vp!

hilo tatizo limetokea tu au kuna
vitu umekorofisha,

halaf w3 battery lake si huwa halitoki(built in)
Hakuna nilichokorofishana nacho but jana nakumbuka kuna App nilipakua inaitwa Notification History baada ya hapo kama dk 03 tatizo ndo likatokea..hii betri linatoka
 
mkuu mambo vp!

hilo tatizo limetokea tu au kuna
vitu umekorofisha,

halaf w3 battery lake si huwa halitoki(built in)
Tecno W3 betri linatoka bana, labda tecno W4 ndio ina in-built bettery,.....
 
Natumia Tecno W3 Lakini Ghafla Simu Jana Iliganda Tu...Nilipotoa Betri kurudisha tena Nikiwasha Inaonesha maneno ya Tecno inakuwa hapo hapo ndo mwisho basi haiendelei tena

Kama kuna mtu ana Ujuzi anaweza kunisaidia tafadhali
Hilo tatizo la kuganda/stuck kwa logo kitaalamu au kiufundi katika mobile software repairing tunaita "BOOTLOOP", so hapo kuna njia mbili za kusolve hilo tatizo either by performing data wipe/hard reset kupitia recovery au kuiflash sim kwa stock ROM yake,,,, Lakini ww unatakiwa ufanye hard reset tu kupitia recovery, lakini hakikisha unaijua/kumbuka E-mail yako na password vizuri, otherwise baada ya hard reset utakutana na UCHAWI WA ANDROID SMARTPHONE, AkA,,, FRP(Factory Reset/Firmware Protection) ambayo kama huna knowledge kidogo na mobile software itakusumbua sana..... Kwa msaada zaidi hebu zama katika hii link kuna maelekezo jinsi ya kufanya>>>>TECNO W3 - How to Hard Reset my phone - HardReset.info
 
Natumia Tecno W3 Lakini Ghafla Simu Jana Iliganda Tu...Nilipotoa Betri kurudisha tena Nikiwasha Inaonesha maneno ya Tecno inakuwa hapo hapo ndo mwisho basi haiendelei tena

Kama kuna mtu ana Ujuzi anaweza kunisaidia tafadhali
Ipige chini memory itairudia haraka..!
 
Back
Top Bottom