Recent content by DAWEMA

  1. D

    JamiiForums Tanzania Lipumba ana cheo gani ccm?

    Nimeipenda hiyo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Lipumba ana cheo gani ccm?

    Mtazame lipumba toka kwenye mchakato Wa kuwatafuta wagombea urais
  3. D

    JamiiForums Tanzania Lipumba ana cheo gani ccm?

    Ndugu zangu Jpm alitangaza watanzania tuache siasa maana sasa ni kazi tu kwa kauli yake ya hapa kazi tu lakini ccm wanaonekana kubeba mzigo Wa mgogoro Wa CUF kwenye mikutano ya ndani na nje anayoendelea Nayo mwenyekiti Wa CUF anayetambuliwa tu na msajili Wa vyama vya siasa mikutano yake...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Provide your CV sio unaandika kama unawahi kupanda daladala
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Muda wa kukaa kazini kabla ya ku~upgrade

    Ni miaka mitatu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Special education unaweza kufundisha hata shule za kawaida ni uoga wako tu tafuta shule hata private upige temple ukikaa unadubiri ajira hadi mwakani july
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM kwanini inavizuia vyama vya upinzani kufanya mikutano?

    Ngoja tunyooshe nchi! Labda ilikuwa moja ya ilani yetu ccm oyeeeee
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yenye Neema Inakuja! Hongera Rais Magufuli

    Acheni kusifusifu vitu watanzania wanajuta nyie mnasifu w
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yenye Neema Inakuja! Hongera Rais Magufuli

    Acheni kuitazama Tanzania kama ndo marekani ya Trump tunasubiri Tanzania ya viwanda 2015-2020 kama wewe ni mchumi there is no industrial revolution within five years tusidanganyane acheni kusifusifu tusubiri miaka mitano ya viwanda tuone
  10. D

    JamiiForums Tanzania Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

    1.Nyambari nyangwine tarime na lameck airo wa rorya nao watakuwa out 2015
  11. D

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI imetoa tamko kuhusu ajira uwalimu awamu ya pili

    yaani ccm wanatufanya wasomi kama daraja!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kubadili kituo cha kazi tarime to magu

    mimi ni mwalimu idara ya sekondari nipo halmashauri ya tarime kwa yeyote anayetaka kuja tarime mi niende magu mkoa wa mwanza tuwasiliane kwa 0767045100 au 0789045100 Ahsanteni.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa chadema kata ya turwa-tarime afariki dunia.

    chadema tarime tunasikitika kwa kumpoteza kamanda shupavu mwenyekiti wetu wa cdm kata ya turwa jimbo la tarime aliyefariki usiku wa kuamkia leo mungu ailaze roho yake mahali pema.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Turwa-Tarime amefariki dunia.

    Kwa taarifa za majonzi nilizopokea mda si mrefu kutoka kwa katibu wangu wa chadema kata ya turwa jimbo la tarime ni kwamba mwenyekiti wetu wa kata ya turwa ameaga dunia usiku wa kuamkia leo nawapa pole makamanda wote wa chadema jimbo la tarime na familia yake kwa ujumla kwani tumepata pigo ndani...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwa anayefahamu sifa za kujiunga na kidato cha tano mwaka huu

    criteria ya kujiunga na kidato cha tano mwaka huu ni mwanafunzi awe na div 1-3 na awe na credits kuanzia 3 na asiwe na E kwenye combination.
Back
Top Bottom