Recent content by davynemes

  1. davynemes

    Wataalamu wa kuflash simu tukutane hapa....

    Wakuu nina e-pad (Android) imezingua kuwa, nkiwasha inaishia kuandika android then haiendelei na haitazima taa mpak charge ikate ndo itazima... Nlipeleka kwa fundi km wawil wakashindwa kui flash, naomba msaada ni download software gani niifanyie ufundi mwenyew geto!!! Ntashukuru kwa...
  2. davynemes

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    Nlikua nam direct uyo mkuu me sina tatizo ila, me nkishindwa mwelekeo naminya kila button mpk nipate solution ila siminyii power button tuu pc isizime;)
  3. davynemes

    Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    F5 itakusaidia ku view raman kwa mwonekano tofaut tofaut na ukikaribia delivery point sound ya game ina change pia kweny raman utaona pendera nyekundu
  4. davynemes

    UTAFITI: Mitandao yenye uwezo wa kujitumia SMS/Kujipigia Simu Tanzania

    Ukiji sms inakuja ila calls sijawahi ona, sms nlijaribu vodacom ikafaa
  5. davynemes

    Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Sijaridhika mkuu ila thanks for ur present
  6. davynemes

    Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    naombeni kujua tofauti kati ya mtu na binadamu...
  7. davynemes

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Elow dr,naomb msaada wa komesha chunus kwa mwanaum ambaye ana ngozi ya mafuta sn uson,hapak mafut hata cku moja uson,ila kila anapobadilisha mkoa kwenda mwingine bas rashes zinamwandam hasa hasa akiw daa kweny joto kali...ningependelea zaid kujua tiba asilia sio cream
  8. davynemes

    Kutambua sumsung S3 kama ndio yenyewe OG

    Yah zipo gota kwan cm ikitok toleo jipya ndo zinapotea??? kwan ujui s3 ndo toleo mama la sumsung izi zingine cjui s4,5,6……… ni aditix tuu ya compitix kweny soko ila zinaongezek uwezo tuu kdg
  9. davynemes

    Kutambua sumsung S3 kama ndio yenyewe OG

    Wana JF natafuta s3 lakini sina utaalamu wakuitambua kama ni OG maana copy zipo nyingi sana, naomba msaada ili nipate nzuri for long life. Thank you
  10. davynemes

    Hivi bodi wana mpango gani na hela zetu za field?

    Kwan ni udsm na wap tena waliopewa?
  11. davynemes

    Hivi bodi wana mpango gani na hela zetu za field?

    Km cc tuli sign ijumaaa ambay ndo tunafunga xo hatungewez ku dai
  12. davynemes

    Hivi bodi wana mpango gani na hela zetu za field?

    Hi yote siasa kk u just cool tuone mwisho wake,zikichelew sanaa basi tuta stop field coz wengin tuko mikoa ya watu na tumekodi room
  13. davynemes

    Kwa nini mwanamke hukosa hamu ya kufanya mapenzi?

    Sory i mean kuka bila ku sex na kiafya yuko poa,na feeling zote kamili na ana girl frnd ila wamekubaliana hadi ndoa
  14. davynemes

    Kwa nini mwanamke hukosa hamu ya kufanya mapenzi?

    Naomba ufafanuzi juu ya mwanaume kukaa hadi takriban miaka 25 kuna positive &negative effects zipi ki afya au ni vizuri!!!! ufafanuzi please
Back
Top Bottom