wakuu Nilikuwa nafanya installation ya server 2003 ikaja errow inasema set up did not find any hard driver installed in your computer naomba tips za kutatua hii tatizo
Hi all,
I am running Server 2003 Enterprise and want to establish a VPN so that the server can be accessed remotely by other computers both in and out of the local network.
I have tried setting up the VPN with the Server 2003 wizard, but get the message "Less than two network interfaces were...
wakuu Nilikuwa nasafisha laptop yangu kwa kutumia foam cliner Baada ya Kumaliza kusafisha nikiwasha laptop yangu keyboard haifanyi kazi Tatizo Linaweza kuwa ni kitu gani?
Jaman Naomba Msaada Wa Jambo Hili.
Kuna office ambayo ni kama HQ iko hapa Dar es salaam, then kuna Branch Mwanza na Arusha. shida yangu nataka branch za Mwanza na Arusha ziweze kuacces Database ambayo iko kwenye server ambayo iko Dar es salaam. sehemu hizo zote zina Intarnet. naomba tips...
Jamani wakuu Naomba tip Nataka Kuweka windows xp na windows 7 kwenye Machine Moja Inakuwaje? na nataka niwe na uwezo wa kuchagua kutumia xp au windows 7
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.