Davies_007
Member
- Apr 22, 2010
- 59
- 0
wakuu Nilikuwa nafanya installation ya server 2003 ikaja errow inasema set up did not find any hard driver installed in your computer naomba tips za kutatua hii tatizo
Cheki BIOS setup ya hiyo mashine yakowakuu Nilikuwa nafanya installation ya server 2003 ikaja errow inasema set up did not find any hard driver installed in your computer naomba tips za kutatua hii tatizo
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us