Stashahada ya sheria na stashahada ya uandishi wa habari(DIP YA JOURNALISM NA DIP YA LAW)
Asalaam alykhum/Tumsifu yesu kristo/Aleyuyah
Wakuu napenda kujuzwa juu ya hizi stashahada mbil tofaut hapo juu ipi ni nzuri kuendana na hal ya sasa kiuchumi nikiwa na maana kwenye soko la ajira kama...
Asalaam alykhum son kheri Mi mwanafunzi wa MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO almaarufu MUM dah kama umechagua kua mwanafamilia wa hapa bhasi upo sehemu sahihi sana 0653684189 ndo namba yangu niflash nikupe details nyingi kuhusu hapa usijal jina langu DAVID EMMANUEL
Duuh son ulikua wap nadhani leo ndo mwisho saa kumi alhasiri na kma application form unazipata hapa
www.iaa.ac.tz
minimum entry requirements zao ni THREE passes(3 D's) na maelezo zaid web yao hiyo mdaa bado
PIA WAZO ZURI KAMA BADO WANARUHUSU KUUNGANISHA CREDIT KAMA ILIVYO MIAKA YA ZAMAN LAKIN KWA SASA SINA UHAKIKA KAMA BADO IPO HUO MFUMO KWAN NASIKIA KWA MIAKA YA HIVI KARIBUNI UKIRESET CHET CHAKO CHA NYUMA KINAFUTWA NA KAMA UNARESET BHAS UNACRUSH MASOMO YOTE
HIVYO JE HUYO MTU ARESET MASOMO YOTE NA...
Habari zenu wanafamilia wa #JF matumaini yangu ni wazima wa afya kabisa namshukuru mungu mi ni mzima wa afya.
*Haya matokeo ya kidato cha nne ndiyo hayo yametoka!!hamu juu ya kila mtu kujua nini amevuna na kipi alichofanya ndani ya miaka minne kila kitu hadharani,sasa nikiwa hapa JF ndo mpango...
PLZ MAWAZO JUU YA JANJA HUYU
CERTIFICATE YA JOURNALISM NA LAW INAMRUHUSU KWA STAIL HII NA VYUO GANI NA KAMA UNA CERTIFICATE NYINGI MSAIDIEN KUMJUZA
CIVIC"D"
KISW"D"
GEO"D"
ENG"D"
MATH"F"
BIO"F"
B/KEEPNG"F"
COMM"F"
HIST"F"
DIVISION 4 YA 31
Duh ufafanuzi mzuri lakini hii ni kwa wale waliomaliza miaka 2012 kurudi nyuma kwa mfumo wa DIVISION.swali je kwa wale wa miaka 2013,2014 na 2015 kama watatumia GPA je sifa ni hizi hizi au
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.