Vyumba vya kupanga Jordan-Moro

Vyumba vya kupanga Jordan-Moro

kuweni makini na matapeli wa vyumba! Nane Nane yote haina maji, shida kubwa sana ya maji maeneo hayo, tafuteni nyumba mitaa ya kola au kilakala na forest huko maji uhakika!
 
mbona watu tumejenga nane nane na miaka yote hatuteseki maji, kubali mgao inapobidi ndio hali halisi ya mijini.

Na ukanda huu una vymba vingi sana vya pesa ndefu tena self contained.
 
Habari!
Je umechaguliwa chuo Jordan? Ungependa kupanga chumba? Usijali vyumba vipo vyenye hadhi ya wanafunzi wa vyuo kwa bei nzuri!
Nicheki kupitia 0762494688 tukutane nkakuoneshe chumba!

Mimi nimepata MUSLIM UNIVERSITY ila naitaji maeneo ya msamvu utanisaidiaje
 
kuweni makini na matapeli wa vyumba! Nane Nane yote haina maji, shida kubwa sana ya maji maeneo hayo, tafuteni nyumba mitaa ya kola au kilakala na forest huko maji uhakika!
Forest uzunguni bwana- vyumba hamna.
 
Back
Top Bottom