Recent content by David11

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nini Elim ya kidato cha nne nahitaji kazi kwa mwenye kazi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gmail

    Nimeshajarib kufuata maelekez hay imeshindikana
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gmail

    Wakuu nisaidien hpo Kila nikijarib kufungua inaniandikia hiv hat nikiwek vocha kwenye lain yangu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gmail

  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu haitoi sauti mpaka niweke lound speaker

    Habari wakuu samahani simu yangu inatatizo nilikuwa naomba msaada. Ninapompigia mtu au ninapopigiwa simu haitoi sauti mpaka niweke lound speaker tatizo ni nini na ni jinsi gani ya kulitatua yaani nikiweka lound speaker ndo nasikia.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nitapata nafasi kwenye kozi niliyoomba kwa ufaulu huu?

    Kwan serekali Hawa kuwa na akili kuwek hich kigez Tulia saw Sina uwez ila achan na mm saw jua maisha yak
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nitapata nafasi kwenye kozi niliyoomba kwa ufaulu huu?

    Hakuna aliyeandikiw kufel maisha ni kupamban na kumuomba mungu huwez jua najiamin nin saw bro kaa kwa kutulia kma huna point
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nitapata nafasi kwenye kozi niliyoomba kwa ufaulu huu?

    Shukran bro maisha ni mapamban
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nitapata nafasi kwenye kozi niliyoomba kwa ufaulu huu?

    Ahsant mkuu ngoja nikapamban
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nitapata nafasi kwenye kozi niliyoomba kwa ufaulu huu?

    Nimepata Phy D Math D Chem C Na jumla ya ufaulu nin two ya 21 na nimeapply DIT kozi ya electrical engineering na mechanical engineering je nitapata nafasi kati ya hizo MSAADA WA MAWAZO WAKUU AHSANTENI
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi ya Electrical and Biomedical Engineering

    Ndo maan nikauliza unaweza kukuta ukifika chuo ni coz moja tu Kam ni biomedical tu
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi ya Electrical and Biomedical Engineering

    Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
  13. D

  14. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rangi za Bendera ya Taifa zifutwe katika sakafu za ndani ya Bunge

    Huy anayeon Kam ni rang tu bas azipak kweny nyumba yake kama anaon hazin maan zikiw Kam rangi tuone kama atamaliza wiki
Back
Top Bottom