Kaa naye chini kwa upendo, msikilize kwa uvumilivu wote kwa nini anafanya vile. Mwambie uko tayari kumpa Uhuru amwabudu Mungu anavyopenda lakini arudi nyumbani saa unayoitaka wewe. Kuna watumishi hawajali kabisa ndoa za waumini wao wanaendesha ibada mpaka usiku na wanasisitiza watu wasiondoke ...
Hivi jamani kukaa kimya kwa jambo usilolijua ni bei gani? Wengine mnapenda kukashfu mambo ambayo hamyajui, mnajitafutia laana bure na vizazi vyenu. Ukinyamaza nayo ni hekima! Mpumbafu ni mjuaji wa kila jambo naye anajibu kila kitu. Huyo TB Joshua akitabiri jambo hafanyi kwa matakwa yake, kwani...
Nyie ndo wanafiki mnaokesha kwenye mabaa na mamiziki makubwa, lakini mnalalamika kelele za spika ndogo tu za walokole wanapofanya Ibada zao. Vigodoro na kelele zote hatusikii mkilalamika humu. Unafiki tu unawasumbua! Tatizo hapo sio speaker, ni mapepo yaliyo ndani yako yanaudhika! Achana na...
Hivi uzalendo unaosemwa ni UPI? Mtu anayeshabikia Kiongozi mkuu wa nchi anazidi kuwagawa wananchi kwa misingi ya vyama huyo ni mzalendo? Hivi kuchochea chuki na kukandamiza haki na Uhuru wa watu katika nchi yao wanaopewa na katiba yao, huo ni uzalendo? Hivi ukishakuwa umeshika madaraka tu wewe...
Wewe, ukweli ni 40% tu, mengine ni kutokujua undani Wa jambo analosifiwa. Hata hivyo anastahili pongezi, amejitahidi lakini ana mapungufu makubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza hudhuria darasa LA bure ukonga Mombasa Relini ukumbi Wa Saccos tunawasaidia bure wanafunzi kutambua jinsi ya kuchagua unachotaka kusoma
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Jambi LA kwanza he amesoma sayansi? Maana combination ya EGM ni ya biashara zaidi na ile ya CBG ni ya sayansi. Kama ana uhakika amefaulu hayo masomo ya sayansi hayo ya CHEMISTRY, BIOLOGY, NA GEOGRAPHY basi akifika shule aliyopangiwa ndiko mnaweza kuanzia kufuatilia nia ya kubadilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.