N
a wewe ni tatizo au una tatizo kichwani mwako, unamponda mwenzio kisingizio UKAWA wakati wewe mwenyewe unafikiria km funza? Sasa lini tajiri akaomba kukopa? mimi najua tajiri kajitosheleza hivyo labda yeye ndo akukopeshe. Matajiri wa TZ katika ubora wenu..............:(:(:(:(:(:(
Na wewe unajua kukalili tu haujui vizuri, kwanza tambua kanisa Catholic linaongozwa kwa kauli mbiu ya UTII NA UNYENYEKEVU. Hilo ni la kwanza, pili Baraza la walei linasimamia Rasilimali kama ulivyotangulia kusema ila sio michango wala sadaka na hata zaka, kama wangekuwa wanasimamia hayo, hayo...
That is what Tanzanian people we need? Tunashabikia vitu bila kutafakari, hata mtoto akizaliwa akawa na akili nyingi haimaanishi ashindwe kufuata taratibu za kijamii au familia kama kuna makubaliano. Hatukatai Tanzania tuna utajiri mwingi, ila je? Huo utajiri kuanzia leo hii uko tayari...
CV ya Dr Masaburi ilisaidia nini? Hata nyie mnaouliza CV za wenzenu yaweza kuwa haziwasaidii muhimu ni umakini kwani hata kama hana CV ndeeeefuuu ila akawa na uwezo wa kuielewa mikataba kwa lugha zote inatosha kwani yeye km Meya kazi yake kubwa ni kusimamia utekelezaji wa maazimio na mikakati ya...
Mi sijaona jipya zaidi ya watoto wa Lumumba na Bk7 zao kujitekenya na kujichekesha wenyewe kwani mwenye kusema ukweli ni Ngoda na Funza tu hao wengine ni sawa na mashua, bila upepo kuvuma haiendi. Sio Slaa wala Mwengine yeyote, mwenye-kuitesa CDM ni Mungu pekee kupitia wapenda haki tu si...
Shut your mouth stu***pid. Mambo ya kumuita Slaa eti Padre ukome, huwa unaenda anakuungamisha kwake au wewe ndiye katekista unayemsaidia kuandaa vitu vya misa? mpuuzi!! Afu chadema sio familia yenu ya mazuzu kaa kimya ukamuliwe
Wewe poyoyo na akili zako umeona anazungumzia vitu vidogo sanaa..!!!!!!!!!!! Kwa taarifa yako mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yanakuja kutokana na muunganiko wa serikali kuu na serikali za mitaa ambazo ni halmashauri zinazoongozwa na mameya au wenyeviti wa halmashauri. Sasa authority ya Meya...
Wee ni mburula kweliiiii!!!!!!!!!!!!!!,..... Wasomaji wa Mawio wanajitambua kwani mlikuwa mnapigiana kampeni mara Januari mara Lukuvi lkn sisi tulikuwa tukisubili mfanye yenu kwani hambadiliki ila swala la muda tu. Time will tell.
Weee Bwege kweeeli weweee!!!!!!!!!! sio wewe uliyekoti hadi vifungu vya kisheria? unajifanya fahamu hazimo sio? kama ni kosa au kutafsiri sheria mhusika ni Hakimu/Jaji.
Kama ulivyonukuu vifungu vinginevyo hapo mwanzo, Kazi ya tume kupitia mwenyekiti au makamu wake ni kutangaza tu matokeo ya...
Ni kweli Mungu hawezi ongoza wapiga deal tena wapambe na mateka wao hawajui nini nafasi wala uongozi,!!! Uwakilishi wala Uwajibikaji,!! wanabaki kishabikia na kudandia wasiyoweza hata wakipewa kama Makondo ahaaa Makonda na hawana hata chembe ya uelewa hata angeongea mjuzi wa kuelewesha. Kwa...
Km Mayor ni jipu wa kulitumbua ni waliolichagua kwani hatokani na chama cha Waziri mkuu, vinginevyo Waziri mkuu afute Halmashauri ya Kinondoni kulingana na sheria zinavyotaka kwa kosa sahihi na halali lililofanywa na Halmashauri kupitia Baraza la madiwani upooo??? Au mkodi Baraza la madiwani...
Ni kweli wataamgukia pua km safari hii kwani wabunge 70 hadi 106? wamechoka hawa!!!! Ruzuku toka Milioni mia nne na kitu vyama vyote hadi karibu Bilioni? wameishiwa kabisaaaa!!! Chezea Pummm*****Mbuuuuuu weweee!!!!!!!!!!!!!!!! Utaliwa sanaaa kumsifia mwanaume, au hujui tafsiri ya neno ngosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.