waziri wa magufuli ahusishwa chadema

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,906
2,885
imeelezwa kua kuna waziri mmoja wa serikali ya magufuli ameshiriki vikao vya chadema vinavyojadili jinsi ya kushnda umeya wa jijini dar source gazet la raia tanzania
 
Kwani tuko vitani? Kwani sisi ni maadui? Mbona tunaendekeza mambo ya kipuuzi namna hii? Ningekuwa na uwezo ningekuwa nawachapa vibao tu
 
Wasimruhusu huyo atakuwa katumwa kufanya udukuzi wa siri za vikao na mikakati ya upinzani.yawezekana akawarubuni na baadhi ya wajumbe.
 
Kama umeya ni namna hii, sasa napata picha hata urais ukawa kushinda na kutangazwa ilikuwa ni ndoto
 
Mimi nashangaa sana jinsi tulivyoweza kuongozwa na ccm miaka 50 yaani naona miujiza
 
Back
Top Bottom