falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,287
Nimesikitishwa sana na unafki wa mgeja mbele ya wanamabadiliko,wiki iliyopita mgeja na baadhi makada wenzake wanne waliweka kikao cha siri kupitisha azimio kuomba msamaha warudi ccm
Hali hii imekuja mara baada ya mkwere kutangaza atawashughulikia wote waliosaliti ccm wakati wa uchaguzi
Aidha siku ya ijumaa iliyopita baba riz akiwa ofisini lumumba alimpokea mgeni ambaye kiumri ni mtu mzima kuliko baba riz,mgeni huyo mstaafu wa jeshi mwenye lafudhi ya kanda ya ziwa ambaye pia ni kada kuntu wa ccm,alimweleza baba riz kuwa ana majina matano ya waliosaliti ccm lakin sasa wanataka kurudi ccm wakati wa kikao cha kamati kuu ya ccm kitakapo kaa mwezi june
Hali iliyomfanta baba riz kutahamaki na kuanza kuuliza."hawa wakati sisi tunatafuta serikali wao walitusaliti,sasa hivi wanataka nini?"lakin hatimaye alikubali kuyapokea majina hayo
Wanamabadiliko nitaendelea kuwajuza kadri muda unavyoruhusu juu ya vigeugeu hawa
My take:chadema tuwe makini na wanafki kama hawa