The dark side of JPMagufuli

The dark side of JPMagufuli

wananchi tunataka maendeleo ya kiuchumi,tutoke hapa tulipo mambo ya wapinzani sijui chama tawala saivi tuyaache ndugu,wewe uchaguzi wa mameya unakunufaisha nini?uchaguzi wa zanzibar wewe unakunufaisha na nini?raisi atafanya mangapi??
Tokea aingie madarakani rais Magufuli amekuja na style yake mpya ya utawala wake wa kutumbua majipu kiasi kwamba amejizolea sifa nyingi sana hapa nchini na nchi za nje.Kuna baadhi ya mambo mazuri ameshafanya kwenye siku 100 tokea aingie ofisini .

Pia kuna masuala mengine yametendeka na kugubikwa na sintofahamu miongoni mwa wananchi katika siku zake hizo mia moja za ofisini.

Nataka nizungumzie suala la demokrasia ,katika suala hili naona Rais Magufuli ana walakini katika hili la kipengele hichi cha demokrasia. Katika hotuba yake ya awali aliwahi kusema uchaguzi umekwisha sasa tujenge nchi na mimi ni rais wa watu wote huku akiwalenga wapinzani.

Kuna suala la uchaguzi wa Zanzibar hili analijua wazi na lakini anajifanya halijui na hahusiki nalo kiasi kwamba jumuiya za kimataifa wanalifuatilia kwa ukaribu sana .Huku akiwatisha wa Zenj kwa nguvu za kijeshi.

Kitu kingine ni uchaguzi wa mameya katika baadhi ya miji, tumeona figisu figisi zinazo tokea kwani chama chake hawakubali kushindwa kwenye masanduku ya kura ingawaje wananchi wamewakataa.

Mimi naamini utawala bora wa kiongozi yeyote ule katika nchi huendani na demokrasia na sio vitisho kwa wapinzani sabubu kuna mambo mazuri serikali inaweza kuyachukua toka kwa wapinzani katika shughuli za kuongoza nchi.
 
DEMOKRASIA ZIANZIE NDANI YA VYAMA VYA SIASA,TUONE MFANO.NI NANI KWANZA NA KIKAO KIPI KILIMTEUA MBOWE KUWA KUB?????????????

Kuna suala la uchaguzi wa Zanzibar hili analijua wazi na lakini anajifanya halijui na hahusiki nalo kiasi kwamba jumuiya za kimataifa wanalifuatilia kwa ukaribu sana .Huku akiwatisha wa Zenj kwa nguvu za kijeshi.
MWAMBIE KAMA MAALIM SEIF ANAONA HAJATENDEWA HAKI,KWANZA AJIUZULU ASIWE MAKAMU WA RAIS KISHA AENDE MAHAKAMANI.SIMPLEEEEEEEE

Kitu kingine ni uchaguzi wa mameya katika baadhi ya miji, tumeona figisu figisi zinazo tokea kwani chama chake hawakubali kushindwa kwenye masanduku ya kura ingawaje wananchi wamewakataa.

Mimi naamini utawala bora wa kiongozi yeyote ule katika nchi huendani na demokrasia na sio vitisho kwa wapinzani sabubu kuna mambo mazuri serikali inaweza kuyachukua toka kwa wapinzani katika shughuli za kuongoza nchi.
NYUMBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Unazungumzia vitu vidogo sana. Wananchi tunataka mabadiliko ya kiuchumi na kijamii ambayo Rais anaendelea kuyafanya. Meya akichaguliwa tena wa Jiji ambaye hana eneo lolote la Utawala wewe unapata nini? Zanzibar ni Nchi yenye Katiba na Tume yake. Rais wa JMT hawezi kuingilia mambo ya Kisheria bwana!

Hayo ulioyaita mambo madogo ni kipimo cha uongozi ndani ya uongozi wake
 
Ni ndoto za mchana kufikiria Zanzibar kuchafuka , nani afanye fyoko ? Magufuri ana mambo makubwa hivi vijambo vidogo vya Znz nA umeya mpelekee Nape

Aina hii ndio ma- GT wa nchi hii tutafika ?!
 
P
Ogopa mtu wa kulipiza visasi ila siku moja atalipwa. Humjui roho aliyonayo.yaan nataman mbingu ipasuke imeze mijitu yote ya ccm yaan siyapenden kama nn nikiyaona nahis kupasuka ccm siku moja utakufa kifo kibaya
Pasuka au kunywa simu ufe ili usiendelee kuwaona hao CCM,haina haja ya kuandika chukua hatua mkuu.
 
Unazungumzia vitu vidogo sana. Wananchi tunataka mabadiliko ya kiuchumi na kijamii ambayo Rais anaendelea kuyafanya. Meya akichaguliwa tena wa Jiji ambaye hana eneo lolote la Utawala wewe unapata nini? Zanzibar ni Nchi yenye Katiba na Tume yake. Rais wa JMT hawezi kuingilia mambo ya Kisheria bwana!

Wewe poyoyo na akili zako umeona anazungumzia vitu vidogo sanaa..!!!!!!!!!!! Kwa taarifa yako mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yanakuja kutokana na muunganiko wa serikali kuu na serikali za mitaa ambazo ni halmashauri zinazoongozwa na mameya au wenyeviti wa halmashauri. Sasa authority ya Meya wa jiji ni kusimamia mapato ya ndani ya jiji na yanayoletwa kutoka nje ya jiji kwa ajili ya miradi mbalimbali sasa upunguwani wako umeona hana eneo lolote la utawala au kwenu mlifundishwa utawala ni kusindikizwa na ving'ora vya polisi na kufanya teuzi tu? Tukiachana na hayo tuongelee ukandamizaji wa demokrasia, mnajua Zanzibar ccm hawakupata kura za kutosha huku cuf wakiwa na uhakika wa kushinda, figisu figisi zilizotokea mnajua nyie na shetani wenu kwani Mungu huwa hashiriki upuu....zii wowote kama ule. Basi mmeng'ang'ania mnarudia uchaguzi sawa endeleeni, tatizo mlivyo wa ajabu mnang'ang'ania waliojitoa washiriki uchaguzi feki ili mpate uhalali wa kufinyanga demokrasia, unaposema tuwaache zanzibar wana katiba na tume yake unamaanisha tuwachukulie kama Burundi au Kenya? just think twice bro JMT ni pamoja na hiyo zanzibar sasa Rais anayekubali sheria kupindishwa makusudi ilhali aliapa kuilinda na kuitetea katiba ya jamhuri sio ya tanganyika na pia kulinda mipaka ya jamhuri dhidi ya wavamizi wa nje na wa ndani akiwa amiri jeshi mkuu lazima kuna tatizo, tena mnaleteleza nyie mnaofikiri kwa kutumia ma*ta*ko si aliishasema mwana ccm mwenzenu hayo? OVER
 
Tokea aingie madarakani rais Magufuli amekuja na style yake mpya ya utawala wake wa kutumbua majipu kiasi kwamba amejizolea sifa nyingi sana hapa nchini na nchi za nje.Kuna baadhi ya mambo mazuri ameshafanya kwenye siku 100 tokea aingie ofisini .

Pia kuna masuala mengine yametendeka na kugubikwa na sintofahamu miongoni mwa wananchi katika siku zake hizo mia moja za ofisini.

Nataka nizungumzie suala la demokrasia ,katika suala hili naona Rais Magufuli ana walakini katika hili la kipengele hichi cha demokrasia. Katika hotuba yake ya awali aliwahi kusema uchaguzi umekwisha sasa tujenge nchi na mimi ni rais wa watu wote huku akiwalenga wapinzani.

Kuna suala la uchaguzi wa Zanzibar hili analijua wazi na lakini anajifanya halijui na hahusiki nalo kiasi kwamba jumuiya za kimataifa wanalifuatilia kwa ukaribu sana .Huku akiwatisha wa Zenj kwa nguvu za kijeshi.

Kitu kingine ni uchaguzi wa mameya katika baadhi ya miji, tumeona figisu figisi zinazo tokea kwani chama chake hawakubali kushindwa kwenye masanduku ya kura ingawaje wananchi wamewakataa.

Mimi naamini utawala bora wa kiongozi yeyote ule katika nchi huendani na demokrasia na sio vitisho kwa wapinzani sabubu kuna mambo mazuri serikali inaweza kuyachukua toka kwa wapinzani katika shughuli za kuongoza nchi.
kwa nini hamtaki kuamini maneno yetu sisi kina gogo la shamba pale tulipowaambieni kwamba Makufuli hana ubavu wa kuamua lililo la haki kati ya ccm na vyama vingine?kwa maana nyingine hiyo ndio kuisoma namba yaani kuua upinzani
 
Back
Top Bottom