Recent content by David lusinde

  1. D

    Kwanini kesi za kazi zinachukua muda mrefu kumalizwa?

    Kesi hii ilipoiilipoingia kwenye uamuzi iliamuliwa upande mmoja tukapewa ushindi. Akagoma kulipa,tukaenda kwenye kukaza hukumu mahakamani,paia akaamuliwa kulipa,hakufanya hivyo,mahakama ikatoa amri kwamba mali zake zikamatwe ili kulipa deni,akakata rufaa akidai pesa alizotakiwa kulipa ni nyingi...
  2. D

    Uvutaji Sigara

    Ni kweli lakini pato la taifa litayumba kama tukiacha kuvuta sigara, kwani bajeti zote za nchi hii zinaanzia kwenye sigara na bia, tukiacha kuvuta kwa mtaji huo zahanati zitajengwa kweli nchi hii, nakuunga mkono kwa kila ulicho kisema kwamba upo sahihi, lakini upande huu wa pili tutasalimika...
  3. D

    Kwanini kesi za kazi zinachukua muda mrefu kumalizwa?

    Nina kesi tangu 2008, mpaka sasa bado inainaendelea. Tumeshinda kesi hiyo ktk ngazi ya usuluhishi, uamuzi na tukafika mahakamani kwa ajili ya ukazaji wa hukumu, hukumu iliakazwa na ikaamuliwa yule mwajiri alipe. Yyule mwajiri hakulitekeleza agizo la mahakama kama alivyoamuriwa, ikafuata...
  4. D

    Muuaji wa Padri Evarist Mushi Akamatwa kwa msaada wa picha iliyochorwa na FBI

    Siasa za nchi hii zimefikia wakati zinaharibu kila kitu, Na ithibitike wazi wazi kuwa serikali imeamua kukomesha tabia kama hii ili kuzuia watu wengine kukariri kuwa tuna serikali isiyojari ktk mambo kama haya ya kinyama.
  5. D

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    Zilongwa mbali na zitendwa mbali. Ukisema neno na utende, watu wamelalamikia juu ya kufeli watoto wao lkn kwenye kuwasimamia ili waje kupata matokeo mazuri wameshindwa. Kumbe mnalalamikia nini?
  6. D

    Ninawapenda wote wakubwa kwa wadogo!

    1.mimi ni mjasiliamali. Shughuli zangu ni biashara, hivyo ninampenda sana m2 anaejiamini na kufanya shughuli halali zinazomwingizia kipato ili kuhakikisha mkate wa siku unapatikana. (2) napenda siasa kidogo (3)nachukia uvivu wa aina zote (4) napenda kubadilishana mawazo na watu tofauti...
  7. D

    I love you

    Haina mbaya ndg pa1 sana!
Back
Top Bottom