Recent content by David kagenzi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Hiyo ni kweli kabisa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Boom langu nimeamua kununua mzigo na kuweka ndani nikimaliza chuo nifungue duka langu

    Jambo Zuri, ila be self discipline about that, kwa sabababu inaweza kutokea passi ndefu bumu likakata ukauza kila kitu. Au hata kuingia madeni.
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka umeanza vibaya. Inauma ila hamna namna.

    nimeipenda hiii
  4. D

    JamiiForums Tanzania Timiza malengo yako ya kibiashara 2024

    namba yenu ya simu mkuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Timiza malengo yako ya kibiashara 2024

    asante sana mkuu,ntawacheck ngoja nijipange
  6. D

    JamiiForums Tanzania Timiza malengo yako ya kibiashara 2024

    1.kwahiyo leseni inachukua muda gani kuipata kutoka brela 2.na vipi kuhusu usajili wa kampuni brela online 3,na vipi nikitaka kuwa kampuni zaidi ya moja.lakini mwekezaji ni mimi yuleyule usajili wake ukoje??
  7. D

    JamiiForums Tanzania Eneo zuri la kilimo kati ya Kibaha na Mkuranga

    Jamani habari za wakati huu, hivi naomba kuulizia kuhusu maeneo haya mawili, MKURANGA na KIBAHA vipi eneo zuri kwa kilimo, kuna uwepo wa maji kwa ajili ya umwagiliaji, and more accesible zaidi. Lakini naomba kujua hali ya hewa ya maeneo hayo kama kuna mu anayafahamu vizuri maeneo hayo
  8. D

    JamiiForums Tanzania NAFAKA

    weka basi namba yako ya simu mkuu
  9. D

    JamiiForums Tanzania NAFAKA

    mkuu nahitaji mzigo, namba yangu hii hapa,0746511490
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa plant ya madini ya dhahabu inaweza kugarimu shilling ngapi hasa kwa kiwanda cha kati?

    Jamani naomba kuuliza kuhusu ujenzi wa plant ya madini ya dhahabu inaweza kugarimu shilling ngapi hasa kwa kiwanda cha kati au hata kikubwa.
Back
Top Bottom