Recent content by Davetz

  1. D

    Mgomo wa wafanyabiashara trh 05/03/2015

    Nipo kariakoo mda huu.....asilimia 90 ya maduka makubwa yamefungwa hapa mtaa wa kongo.
  2. D

    NBA Season 2014/2015

    Word........despite of their good performance this season under Steve kerr, I am not sure they are among title contenders as we all know 7 games in playoffs needs something else !!!!!
  3. D

    NBA Season 2014/2015

    Ha ha ha......let's wait n see, but I can assure you will see hear this at the end of season : " San Antonio spurs are the world champions "
  4. D

    NBA Season 2014/2015

    Go spurs go........still believe spurs will make it to the playoffs despite of their inconsistencies in results. In Greg pop we still believe, hoping that kawhi Leonard and danny green will stay health pluc the big three Timmy, tony and manu without forgetting the depth in spurs bench of patty...
  5. D

    Kurushwa kwa michuano ya AFCON

    TBC 2 kupitia startimes wataonesha kuanzia game ya leo kati ya equatorial guinea vs DRC saa moja usiku.
  6. D

    Msaada wadau, je hii power bank reliable !?

    Wakuu mwenye kufahamu kuhusu hii power bank anijuze vizuri kabla sijainunua. Nakaribisha pia wenye kujua kuhusu power banks aina tofauti tufahamishane. Ahsante !!!!!
  7. D

    Gari inaungua muda huu maeneo ya Makumbusho

    Wakuu nimepita eneo la Makumbusho muda huu na kukuta kuna gari inawaka moto pale jirani na ile restaurant iliyoko pembezoni mwa barabara. Kwa kuwa nilikuwa ndani ya gari sikuweza kupata taarifa kamili juu ya gari lile nini kilisababisha liungue na kama kuna majeruhi wowote. Mwenye taarifa zaidi...
  8. D

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Mkuu Gidbang heshima kwako kwanza kwa kuwa na bwawa lenye ukubwa huo kwani huo ni mtaji tosha sana kwenye biashara ya ufugaji wa samaki. Kulisafisha hlo bwawa ni kazi rahisi mno kwani unachotakiwa kufanya kwanza ni kutoa hao samaki wote na vyura waliomo either kwa kutumia net au kwa kutoa maji...
  9. D

    Msaada: laptop imezima ghafla tangu jana na imegoma kuwaka mpaka muda huu.

    Ahsante mkuu.......adapta iko sawa though battery ilikuwa na matatzo ya kutokaa na moto kwa mda mrefu.
  10. D

    Msaada: laptop imezima ghafla tangu jana na imegoma kuwaka mpaka muda huu.

    Ahsante sana mkuu.......natumia windows 7 proffesional, kabla haijazma feni ilikuwa inazunguka kawaida tu na laptop haikuwa ya moto sana kwani ndo kwanza nimeiwasha na ikazma ndani ya muda mfupi sana. Tatzo linaweza kuwa ni nn katika mazingira hayo ??????
  11. D

    Msaada: laptop imezima ghafla tangu jana na imegoma kuwaka mpaka muda huu.

    Wakuu kwanza natanguliza salamu kwa member wote humu jukwaani. Kama inavyojieleza kwenye kichwa cha habari ni kuwa laptop yangu aina ya dell inspiron 1000 ilizimika ghafla jana usiku muda mfupi baada ya kuiwasha na imegoma kuwaka mpaka muda huu. Pia hata nikichomeka adapter kwenye pc haioneshi...
  12. D

    Dunia ina maajabu sana, hebu tizama hii video

    Ha ha haaaahhhhh......naikumbuka sana hiyo video ilitusumbua mno enzi hzo niko chuo kwani kila mtu alikuwa anahisi hayo ni maajabu kumbe anatumia trick ndogo tu ya kukupumbaza akili. Anachokifanya ni kukufanya u concentrate kwenye karata moja utakayoichagua na kutotilia maanani seti nzima ya...
  13. D

    Wana JF wenzangu nisaidieni hii kitu!

    Aisee mkuu afadhali umeleta hii mada hapa jukwaani, am sure tutapata majibu mazuri kutoka kwa ma great thinker wenzetu. Mimi mwenyewe hii hali huwa inanitokea pia mara kwa mara japokuwa cku hz imepungua, unakuta kuna muda nimekaa au nimeenda sehemu au naongea na mtu alafu ghafla naanza kuhs kuwa...
  14. D

    Tuiombee Tanzania yetu sana maana saa hivi mashoga wameanza kujitangaza rasmi

    "What it takes for evil to prevail is for good people to remain silence " Good start mkuu kwa kuwakumbusha tcra kuangalia kwa jicho la tatu suala hili kwani siku hz imekuwa too much hususani kwenye mitandao ya kijamii kwa mashoga kujitangaza na kujiuza hadharani. TCRA hamkeni katika hili na...
  15. D

    Naweza kutumia kifaa gani kupata internet badala ya modem ?

    Mkuu tusaidiane basi hayo maujuzi kwani nimekuwa nikijarbu hyo njia over and over lakini nashindwa kupata hyo option ya portable WiFi ili kuweza kuconfigure. Tatzo linaweza kuwa simu yangu au ??????? Je kuna njia nyngne ya kutumia simu kama internet device apart from wireless ????????
Back
Top Bottom