Nchi ya Zambia ni moja ya mtumiaji mkubwa sana wa bandari ya Tz mwaka huu pekee amepitisha zaid ya ton 2M kweny bandar yetu ya Dar na hii ni pamoja na changamoto zote za bandari na umbali kutoka Dar hadi tunduma kwanjia ya barabara
Ningependa kuona tunampango wa kupeleka sgr uko sababu mizigo...
Ni kweli Mwanza kwakua ni jiji la pili kwa ukubwa tz bara wanahitaji kiwanja cha mpira sema ndo hvyo wenzenu wa Arusha wamepata fursa kwa kuwa na hotel nyingi za kisasa. Watu wa mwanza sasa hv mngeomba brt au Tram kurahisisha usafiri kwenye jiji na kufanya jiji lenu liwe la kisasa zaidi.
Kuna nyimbo inapigwa sana efm inasema “sinung’ung’uniki
Si lalamiki”
Sehemu nyingine anasema
“Ridhiki anatoa mola”
Yani wanaipiga sana efm tatizo jina silifahamu
Kwa sababu hamn venue nyingine za kuhost ayo matamasha za ukubwa uwo..
Ndomana serikali inataka ijenge Kawe arena ili ayo matamasha ya kijamii yawe yanafanyika uko..
Lakini ndo ivyo wananchi wanalalamika Kawe arena ni mradi wa kijinga na kifisad😁
Nimekuelewa lakini kaskazini iko connected na grid ya taifa na pia kuna mabwawa ya umeme ambayo yanaweza kuongeza nguvu..
Pia ethiopia wanataka kuconnect na grid ya za nchi za south ivyo ni lazima tu kaskazini itakuwa connected na south tanzania..
Yote yote ni issue ya security mzee kaskazin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.