Mkuu NGO hii ipo chini ya UN ni ya zamani sana. Umri wangu chin ya 30 lakin nahofia miaka ijayo kupata kazi utumishi wa umma unazid kuwa mgumu watu wengi mno
Nyumbani wananishaur niingie serikalin huku nikiangalia hapa kwenye NGO nikipambana mwaka 1 Tu nitaweza kununua hata kaplot Kang ndio hapo...
Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni...
Aliyekwambia nimesoma orodha nani kwanza sijui Una upofu wa macho rudia kusoma uone aliyeleta taarifa nani na pia mm nipo since huu Uzi umeanza sema tu nilibadili 🆔 so kufatilia ni haki yangu na hakuna wa kunizuia kusema chochote
Aliyeleta taarifa sio mimi, and nimechangia Tu
Alisema kwamba placement za brela zimetoka na hamna majina ya waliofanya usahili
Sasa kosa langu lipo wapi
Kipind chenu cha nyuma serikali haikutoa kibali cha kuajiri na nafasi zilikua chache lakin mama sasa hv anaajiri kwa wingi. Hivyo huwezi kuwalaumu psrs kipind cha magufuli hata kidgo
Shida sio hiyo hapo waliitisha usahili brela alafu waliofanya usahili hamna hata mmoja aliyepata placement sasa hapo ni shida
Sipingani na database ni sawa ikitumika lakin kwa uzuri. Huwezi waits watu kufanya usahili alaf utoe placement asiwepo hata mmoja aliyefanya oral hii ina maana gani si...
Kama ni database wangekua wanatoa Pdf la database kama kipind cha Xavier
Sasa huoni doubt hapo Yan mfanye interview alaf yatoke majina ambayo siyo. Lazima tujiulize maswali na tupate walakini.
Database wanajumuisha na majina ya placement za waliofanya usahili. Asa kwa brela hapa Kuna ukakasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.