Ulikuwa chini ya uangalizi wa wazazi kipindi cha Mabadilikoo???!! Rowasaa!!!!! Rowasaaaa????? Mabadilikooo!!!!!hapo hujaona nyomi la Agustino Mrema ile ilikua funga kazi sasa sijapta kuona nyoma kama la Mrema
Hapana kumeoza ufipani kuleee ambapo mpaka sasa hawajui adui yao ni nani??!! Mara walie na Mbowe, wengine walie na Lisu mpaka wanakimbia chama, wachahe wanaibwekea serikali ambayo ipo mbali nao, mahututi wanali na CCM, mbumbumbu wanalia Mahakama nazani umeona uozo wa ufipani ulivyo😂😂
a
Apuuzwe maana waliasisi siasa za hivi kwa mbweembwe wakizani watakua salama wao na genge lao, kumbe Mungu nae anamipango yake. Haya nyakati zao zimepitwa wamekuja wengine kutumia mfumo wao wanakua wakali anahaha na kuona njia hii siyo sahihi ni kandamizi
Hakika umenena vyema huyu mtu ndie aliyekuwa mstari wa mbele kushangilia mauaji ya demokrasia na raia,hii serikali mbovu anayoipigia kelele ilipita kwa kishindo kutokana na shinikizo na twakwa lao, na yule Muovu mwenzie.
Watu wenyenia njema walipiga sana kelele, kwamba tusitengeneze siasa za...
Sio tu muovu ni mnafki,tapeli mchu, mroho,Lisu wa sasa anapambania ushindi mahakamani ila Lisu wa kipindi kile cha kwao alikua anapambania uhai ukimbizini huko! Huku Magu ndio kinara wa magenge kumbuka sukuma geng? kumbuka wale wa aongezewe mda akiwemo aliyekimbia uhai juzi hapo, wasanii...
Shida ya bwana polepole analiponda genge linalojenga mizizi mahali ambapo wao nao walitaka kujenga mizizi yao ila kwa ufundi wa Muumba akawapa ukame😂 maovu mangapi walifanya na bwana yule ukabila ulijaa,Chato ikaitwa ukanda wa kimkakati kila kitu kule mbuga,airport, wakataka iwe mkoa kabisa...
Wanajificha kwenye sanaa ni kazi ya ubunifu ya kuwasilisha wazo lililo katika akili ya msanii ikiwa ni pamoja na kutumia picha km katuni ila kiujumla huu mtindo wa mwanaume kuvaaa uhusika wa wanawake unapigiwa sana chapuo na wanaharakati na wadau wa upinde ili kufanya iwe kama kirainishi cha...
Kwanza kabisa ukifuga nguruwe jua tu kila mda watu wanakufuata kukulizia vipi unamuzaaje huyo ambapo ni tofaut na wanyama wengine ambao unaweza kumfuga na kumaliza wiki bila mtu kukuuliza kama unamuuza huyo ila Nguruwe saasaaaa khaaa anatafutwa huyo we jaribu kupita nae tu hata mtaani kila mtu...
Picha iko wapi???mbona unazua taharuki bila ushahidi!? Tuma picha ya hayo machafuko tuwatahadharishe ndugu jamaa na marafiki kwa nafasi ya kila mtu kulingana na ushahid wa picha. Ila hilo ziwa si ni ziwa Malawi lakini?
Usisahau kwenye hii kesi binti yumo ndani yake, vip km akaonyesha ushirikiano kwa kumtaja huyo mme wa mtu ambaye mkewe ndiye aliyepelekea yeye kutekwa kufanyiwa unyama ili aachane nae bado huoni kama mpangaji wa hilitukio anakesi ya kujibu NB: sijui sheria nimejaribu kuwaza tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.