Recent content by daud magigo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Fatma Karume amemtembelea Mh. Tundu Lissu hospitalini Ubelgiji kumjulia hali

    Tusiwalaani bali tuwasamehe,na kuwaombea.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Serikali: Waraka ulioandikwa kwenda Kanisa la Kilutheri (KKKT) ni batili; Msajili wa vyama Wizarani asimamishwa kazi

    Daniel ebu tusomee haya maandishi.TEKELI TEKELI PERESI.Maana yake nini?
  3. D

    JamiiForums Tanzania NACTE yavifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali

    Ebu tusaidie kujua lini itafanyika selection ya form five kwa form waliomaliza 2017?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Serikali: Waraka ulioandikwa kwenda Kanisa la Kilutheri (KKKT) ni batili; Msajili wa vyama Wizarani asimamishwa kazi

    Shetani ameangikwa msalabani,YAJAYO YANASIKITISHA.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni yawaomba KKKT na TEC kutojibu barua walizopewa na Serikali

    Chagueni tangu sasa mtakaye mtumikia,mimi na nyumba yangu itamtumikia Bwana.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kufuta Waraka maana yake ni kukanusha kila kilichosemwa

    Hivyi sasa hivyi wa Tanznia tuko nchi ngani?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kufuta Waraka maana yake ni kukanusha kila kilichosemwa

    Kufuta wa waraka wa pasaka,ni kufuta Imani yako na pia kubatilisha Yesu kristo hakufa msalabani na kukikana kitabu kitakatifu unacho amini.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nimeambiwa TEC ya Kanisa Katoliki pia imepewa barua kama ya KKKT

    Kama ni kweli hapa patamu.YAJAYO YANASIKITISHA
  9. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamuru KKKT kuufuta waraka. Yatishia kulifuta "Baraza la Maaskofu wa KKKT" na kuwashitaki

    Ya sasa na yajayo yanasikitisha,Dr Bashiru na Prof Pallamaga weredi wenu na kuyatetea haya yafanywayo na serikali yenu sawa na paka mwenye njaa kubeba gudulia la maziwa kumplekea Mama mwenye mji.Yote haya mtaweza kuyatetea.YAJAYO YANA SIKITISHA.Mbona waraka wa wenzenu hawajapewa amri.Askofu...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kick na jokes: Toka lini ripoti ya bunge inasomwa nje ya bunge? Inaamana hakuna kuwajibika ni kulindana tu

    Unakimbia mazishi ya mbunge wako kuwahi ujinga huuu,haki ya Mungu Mungu hadhihakiwi na wala Mungu si Makamba
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru

    Hatimaye shetani ameangikwa msalabani,Mungu hujibu kwa moto
  12. D

    JamiiForums Tanzania Polepole ataka Zitto Kabwe achukuliwe hatua kwa kupotosha ripoti ya CAG, amtaka 2020 atafute kazi nyingine

    Haraka haraka ujenzi wa kiwanja cha NDEGE CHATO ebu tupe ushindani wa wazabuni kama unao.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Aliyemtishia Nape bastola, 'aweweseka'

    Gazeti la UHURU linauza zaidi ya Tanzania Daima
  14. D

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwanafunzi anayedaiwa kupotea, Abdul Nondo akabidhiwa kwa DCI

    Haraka ya nini mpeni nafasi aongee,nyinyi mnaokataa hakutekwa inawahusu nini? Pilipili usiyoila inakuwashia nini? hao wote tusiwaamini.
Back
Top Bottom