Hivi inakua vip unakua upo kweny uhusiano wa kimapenzi na mtu ambae unajua hautakua unamuamin!??
Sometimes unakuta watu wanapigizana kelel hat mbele za watu Kisa wivu wa ajabu kwanini eti kwann ujipe shida!??
Kila siku wanawake kwa wanaume wanazaliw unashindwa kutumia kauli mbiu ya KATA MTI...
Tatzo sio tozo za ushuru,ushuru ni uleule ila kweny kikao cha mkuu wa mkoa aliamuru kampuni zote zlizoingia mkataba kusafirisha nguzo hizo zilipie madeni wanayodaiwa zaid ya bil.5 inasemekana coz tangu wameanza kuzisombelea hazijawahi lipiwa ushuru tang mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweny maisha ya vijana wengi wa sahiv wanawatu wao wanawaiga stail zao za maisha yaan kuanzia kuvaa,kunyoa hat kufananisha mahusiano na mtu Fulani au msanii fulan
Je,huku kuiga kuna faida gani maana kuna wengin wanayaweza kuna wengn wanashindw?
Je,kuna ulazima wowote maan kunawengin wanapat tabu...
Hivi ni kwel baadhi ya mahusiano kabla na baada ya ndoa hua tofauti !??
Yaani kati ya mwanaume au mwanamke tabia zao hubadilika baada ya kufunga ndoa!? Either anaweza kua na tabia nzur kabla ila baada ya ndoa akabadlika kabisa!??
Naomben mfahamishe wadau maana c wengn bdo hatujaingia kweny ndoa...
Kuna baadhi ya watu wengi wao wanaotoka kweny familia duni Wakishaanza kupata njia ya mafinikio au wamefanikiwa wanaanza dharau au maringo hat kwa baadhi ya ndugu zao hat jamaa zao ,wengne wanabadil hadi miondoko kabs hat waliowaonyesha njia ya mafanikio wanawadharau.
Hii nlikua nauliza hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.