Maisha ya Kuiga kwa mtu yanafaida gan!??

Maisha ya Kuiga kwa mtu yanafaida gan!??

daud gallus

Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
10
Reaction score
9
Kweny maisha ya vijana wengi wa sahiv wanawatu wao wanawaiga stail zao za maisha yaan kuanzia kuvaa,kunyoa hat kufananisha mahusiano na mtu Fulani au msanii fulan
Je,huku kuiga kuna faida gani maana kuna wengin wanayaweza kuna wengn wanashindw?
Je,kuna ulazima wowote maan kunawengin wanapat tabu sana mtaani huku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The front bencher as the first of all people to catch sit for listening Great Thinkers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think kwa hawa madogo waliomaliza shule ni jambo la kawaida and its even hilarious. Si unajua tena adolescence ina mengi

Huenda zikawa inspire kupiga hela in future wavae genuine Gucci and Versace brands.

Tatizo ni pale wanapoiga mambo ambayo sio mazuri kama street gangs, smoking weed, violence.... na hapo ndo wazazi inabidi wawe very observant kwa marafiki za watoto wao kuepusha bad influence.
 
Back
Top Bottom