Recent content by datofa

  1. D

    JamiiForums Tanzania New TARURA Parking Fee System inaenda kuwa aina mpya wizi na uonevu

    Hata na mimi nadaiwa 6000 sijui nilipaki wapi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Nasumbuliwa na hedhi kuchelewa kutoka baada ya kuchoma sindano ya Diprofos. Nimekuja kupata hedhi ambayo haitoki nyingi pia imachukua mda mrefu haiishi. bado naona ina vuja kidogo kidogo, naomba msaada
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nasumbuliwa na hedhi kuchelewa kutoka baada ya kuchoma sindano ya Diprofos. Nimekuja kupata hedhi ambayo haitoki nyingi pia imachukua mda mrefu haiishi. bado naona ina vuja kidogo kidogo, naomba msaada
  4. D

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la Super Shem laanguka Ruaha, Iringa na kuua wanne

    Poleni sana wote waliofikwa na shida hii kubwa. Mungu awaondolee maumivu. Nashauri madereva wa safari ndefu watengenezewe semina za lazima ziwe za mara kwa mara na jeshi la polis Wapewe mafundisho ya tahathali barabarani. Jinsi na kuepukana na ajali.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amfariji Mama Nyerere kwa msiba wa Kifo cha mkwe wake, Marehemu Leticia Nyerere

    Shibuda na marehemu ni mtu na binamu yake
  6. D

    JamiiForums Tanzania Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Ujumbe wa mtoto umenigusaaa
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naolewa wiki ijayo, nahitaji ushauri kwa wazoefu na ndoa

    Kwa uzowefu nilionao wa ndoa. Haya ni maisha ya usanii. Ukiweza kicheza vzr pati yako ndoa utaiweza.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Well said !! Imeeleweka vzr
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wazee mlikuwa wapi kama hakuna kilichofanyika - Akukweti.

    Tunataka mabadilikoooo
Back
Top Bottom