Wazee mlikuwa wapi kama hakuna kilichofanyika - Akukweti.

Wazee mlikuwa wapi kama hakuna kilichofanyika - Akukweti.

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,309
Binti aliyejitambulisha kwa jina la Rehema Akukweti amechangia mada katika mdahalo kwa hasira akisema wazee wanaosema hakuna kilichofanyika tangu uhuru walikuwa wapi?

Kasema kama ndo hivyo vijana watwae uongozi wa nchi kama wamekuwa madarakani kwa miaka hamsini na hawakufanya kitu.

Nadhani alikuwa anamlenga kingunge.
 
Nilimuona, tathmin ya mdahalo wa leo star tv to me cjaona jipya zaidi ya kampeni za chama fulani kwa mfumo mwingine so to me haijalishi walichosema ni kweli au niuongo mimi nashupaza tu kuelekea nilikoona kunafaa.
 
Kaongea yule mbunge wa Afrika Mashariki tu. the rest ni obvious
 
Nilimuona, tathmin ya mdahalo wa leo star tv to me cjaona jipya zaidi ya kampeni za chama fulani kwa mfumo mwingine so to me haijalishi walichosema ni kweli au niuongo mimi nashupaza tu kuelekea nilikoona kunafaa.

Umeona Mkuu eeeh? hata mimi nilivyowaona tu wale wageni nikavunja na ugeni wangu maana nilikuwa kwa mfanyakazi mwenzangu asiyejitambua! Nikamwambia bayana siwezi kuangalia mdahalo wa kipumbav kama huo!
 
Back
Top Bottom