Recent content by DATEMWAMI

  1. D

    JamiiForums Tanzania Anapenda kuomba hela

    Je anaomba hela kwa ajili ya matuimizi ya muhimu?
  2. D

    JamiiForums Tanzania UKWELI KUHUSU WANAWAKE

    Nadhani watu wanashindw kutofautisha kati ya ubabe na kujiamini nahisi mwanamke anampenda mwanume mwnye kujiamini na mwenye uhakika na kile kila mwanaume anachokifanya kuhusu mwanamke
  3. D

    JamiiForums Tanzania UKWELI KUHUSU WANAWAKE

  4. D

    JamiiForums Tanzania Wazo la kuoa linazidi futika kichwani mwangu

    Kama kicha kinavyojieleza. Mimi ni mwajiliwa katika taasisi flani nilianzia kazi mkoa A na mwanzoni mwa mwaka jana nilihamishiwa mkoa B.Huko mkoa B nimekutana na mfanyakazi mwenzangu ambaye tumetokea kuwa maswahiba hadi kufikia kupiga story za mahusiano cuz mchizi hajao na mimi bado cjaoa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Cheap Girls

    True boss c unajua tena cc wazee wa pori kwa pori kwa ajili ya kualign mistari hyo terminology za field huwa zinakuja kichwan fast
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Cheap Girls

    Ni bora niwe na ubaya wa sura lakini ninaakili ya kutafuta pesa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Cheap Girls

    Mwanamke mwenye msambwana ni kwa ajili ya kuwaangalia na kupita nao kwa short tym hauwezi ukakuta smart man anahangaika na mwanamke wa dizaini hiyo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Cheap Girls

    Siyo mwanamke wa kufanya nae maisha otherwise take your time to change her altitude
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Cheap Girls

    Toa sifa za cheap boy kwanza
  10. D

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke dah! Nahitaji Msaada aisee

    Hiyo vita inabidi utumie njia za kireno tafuta kwanza ni kitu gani kinachomfanya dogo akutolee mbavuni ukishajua hicho kikwazo then study mazaidhu ya hicho kikwazo na uyageuze kama opportunities ya kuwin game
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hali si hali mpenzi kavuruga mambo.

    Ha ha huyo watu tayari watatua marinda hapo km wewe c muumini wa hiyo kitu toka nduki
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Pole sana kk huyo anatumia mtandao pendwa wa wanafunzi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Cheap Girls

    1.Wanawaza kuwa na handsome kuliko wote duniani 2.Anawaza kuwa na mwanaume ambaye amejitosheleza kiuchumi 3.Anawaza akiwa kwenye mahusiano na mtu aliyefanikiwa na yeye atafanikiwa hata bila kujifunza njia za kupata mafanikio
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hodi

    Tunakunywangwa tukipewa
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hodi

    mjomba mbona umelenga sana kwenye K?
Back
Top Bottom