Recent content by Data given

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Sidhani kama ulimsikiliza vizuri gwajima, gwajima hakumuongelea manji
  2. D

    JamiiForums Tanzania Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

    :D
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanachuo yoyote anaesoma university of dar es salaam

    Habar ya majukumu, naomba kwa mwanachuo yoyote anaesoma chuo kikuu cha dsm UD course ya Public admnistration namwomba tafadhali ninashida. Mwaka wa kwanza wa pili au wa tatu, Pm
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hapana, VodaCom wamefanya makosa na yatawagharimu kibiashara. Mfanyakazi wao ana maslahi nje!

    Yaan we ufanye mambo ya hovyo alafu unataka privacy
  5. D

    JamiiForums Tanzania Pemba imeikataa CCM, inakataa kurudiwa kwa uchaguzi Zanzibar

    Mkuu hivi nimeipenda vituo kwenye vifaru
  6. D

    JamiiForums Tanzania RPC Arusha, kwanini Lema hachukuliwi hatua?

    Mbona askari anapouwawa hamsemi , shame on u wote mnaopondea polisi, polisi wanafanya kazi yao vizuri sana, Bila polisi unadhani pangekalika, muwe na huruma, wakati nyie mmelala usiku na wake zenu au waume zenu, wao ndio kwanza wapo nje kulinda usalama wenu, ifike mahala tuwe na uzalendo, hawa...
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meseji za simu yako

    Sory.!Nahisi utakua mgeni JF uzi huu hapa sio mahala pake,
  8. D

    JamiiForums Tanzania Shinyanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Jamani katambi na masele VIP huko.?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Shinyanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Shinyanga mjini vip jamani..?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Polen sana
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela leo katuma sms kwa kila mwana Iringa, alipataje namba zetu?

    Ilitakiwa wote kwa pamoja mumshtaki
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane: Hapa lazima moto utawaka tu!

    Yaas wanaweza kufika acha kubeza kama hujui kitu, mfano waliojiandikisha shulr ya msingi mwenge, ni watu 1250, kinachofanyika, wanatengeza vituo vitogo ndani ya kituo hicho hicho cha shule ya msingi mwenge, soo ni kama wanagawa vyumba vya madarasa tu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri viwanja vya Furahisha Mwanza: Mkutano wa kampeni ya Dr. John Magufuli - Oktoba 17, 2015

    Hutu dogo muimba mashairi anatukana tu, CCM hizo siyo campaini bwana, Mimi in mwana ccm lakin kwa hii hapana bwana haipendi kwann asiandae mashairi ya kujenga Sera..?
Back
Top Bottom