Recent content by Daspauls 238

  1. Daspauls 238

    Hivi Kontawa anatuchukuliaje mashairi yake? Jamaa comedian sana

    Rapper anaejielewa ni conboi cannabino pekee wengine comedians tu
  2. Daspauls 238

    Kozi gani unaweza kuchukua endapo utasoma tahasusi ya CBG?

    Nasikia hadi course za biashara kama accounting 🧾 au ni siasa TU
  3. Daspauls 238

    Nimepangiwa CBG; naweza nikasomea Accounting and Finance?

    Nimepangiwa CBG nauliza naweza nikasomea accounting and finance. Msaada please 🥺🥺
  4. Daspauls 238

    Kwa mtaji wa milioni 12, nifungue hardware, nafaka au phone and accessories?

    Nunua pik pik 5 ajiri vijana kwa wiki kila kijana akuletee laki 1 tu kwa mwezi unapiga milioni 2 akili kukichwa ndugu yangu
  5. Daspauls 238

    Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

    Kuhusu upambanaji mimi nimpambanaji kwa matokeo hayo ni kutokana na shule za kata
  6. Daspauls 238

    Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

    Sijakupata mkuu vizuri unamaanisha nini?
  7. Daspauls 238

    Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

    Kuna jamaa humu ameniambia kuna vyuo vya kuweza kupata 75%first class GPA kama vipi mkuu
Back
Top Bottom