Babu aliniambia " Watanzania tunataka mabadiliko, na hautapatikana kamwe kama hatutaacha kumruhusu mtu aliyefariki siku nyingi kuendelea kutuongoza" 🚶🏿🚶🏿🚶🏿
Sawa hotuba yake nzuri, tena very touching.
1. Anatushauri nini(Watanzania)?
2. What is his catch?
3. So kama EL angetimiza ahadi ya hao watu ambao angekuja nao haya yote asingeyasema?
4. Kwani Watanzania hawayajui,?
Sawa tushamsikia na TB yake.
Nishafanya hivyo, ina side effects(point of correction). Haina tofauti na sliming tea labda bei tuu yako kubwa ila function ni zile zile. Thanks anyway.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.